wadhifa mkubwa katika taifa lakini uwezo wa kufikiri mdogo kuliko hata sisimizi.
Halafu mnakataa uchawi haupo, biblia yangu inaniambia upo na unatumika kuiba nyota za watu.
wadhifa mkubwa katika taifa lakini uwezo wa kufikiri mdogo kuliko hata sisimizi.
ni kweli mkuu chadema si ndo wanachoma makanisa!
Halafu mnakataa uchawi haupo, biblia yangu inaniambia upo na unatumika kuiba nyota za watu.
hivi tuwe serious kidogo
chadema mlipokamsimamisha mbowe kugombea urais kipindi kile kweli mlikua serious aongoze nchi hii au mlikosa mwakilishi??
Kweli dumb man like dj kupewa trust kubwa kias kile hatukuona kama ilikua hatari kwa mustakabali wa nchi hii kama angechukua nchi??
Message sent and delivered,
WALIOCHOCHEA UKABILA/UKANDA NDIO WANAOENDEKEZA UDINI. BIG UP JK, atleast umeliona tatizo
Mods ondoa huu UZI wa udini hawa chadema wanaeneza sana udini. wao ndio wanaendesha siasa kupitia makanisani wakiambiwa wanakataa lakini mwisho wake ni kuumbuka tu.
kweli mkuu hata uchaguzi wa 2000 walikuwa ni cdm waliokuwa wanatangaza kuwa cuf ni chama cha udini,hilo boomerang baba limerushwa na ccm sasa linawarudia wenyewe,waliopandikiza kuwa cdm ni chama cha ukabila mara cha udini kesho utatuambia hata shehe Ponda ni cdmMwana Mpotevu Hii mbona iko wazi inawalenga CDM moja kwa moja, kwani wao ndio 90% ya viongozi wao wanatoka kaskazini, na sasa wameleta udini chini ya mwamvuli wa kanisa
Mbona iko wazi, yule mtoto alitumwa na cdm
Acheni hizo yeye kama Rais wa nchi alitakiwa aseme ni kina nani hao
mapadri na wachungaji.....LOL
Jamani wana JF
Someni haya asemayo Kikwete sasa kuhusu udini na ukabila kisha mtafakari wenyewe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumapili, Oktoba 28, 2012, ameanza ziara ya siku nne kukagua shughuli na kuzindua miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Kilimanjaro kwa kuwaambia Watanzania kuwa moto wa dini ambao umeanza kujitokeza katika Tanzania hautakuwa na mshindi.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
JK: Moto wa dini hautakuwa na mshindi
Rais Kikwete ameanzia ziara yake kwenye Wilaya ya Same ambako amehutubia mkutano wahadhara kwenye eneo la Stendi ya Mabasi ya mjini Same ambapo amewaambia mamia ya wananchi kuwa baada ya watu wasioitakia Tanzania mema kushindwa kuwafarakanisha Watanzania kwa kutumia ukabila sasa wamegeukia dini.
Kuna watu hawana raha na utulivu na amani ya nchi yetu. Walijaribu kutufarakanisha kwa kutumia ukabila lakini hili lilishindikana na sasa wamegeukia dini. Lakinindugu zangu moto wa dini hautakuwa na wa kuuzima na hautakuwa na mshindi, Rais Kikwete amewaambia wananchi kwenye mkutano huo.
Amewataka Watanzania kuendelea na utulivu wao wa kidini na wakatae kufarakanishwa kwa tofauti za dini.
Ndugu zangu, siku zote tumekuwa na dini zetu, kila mmoja akiwa na uhuru wake wa kuabudu anachokitaka na kukiamini na kwa namna anavyotaka yeye. Ni muhimu tuendelee kuheshimu tofauti zetu za dini bila kuzigeuza tofauti hizokuwa chimbuko na sababu ya ugomvi.
Rais Kikwete pia amewahakikishia wananchi wa Same kuwa Serikali imedhamiria kumaliza tatizo la maji katika maeneo ya wilaya hiyo na wilaya za jirani za Mwanga na Korogwe katika Mkoa wa Tanga.
Amesema kuwa mradi mkubwa wa kusambaza maji katika vijiji 34 katika wilaya hizo kutoka Bwawa la Nyumba ya Mungu utaanza kutekelezwa Februari mwakani. Mradi huo wenye thamani za dola za Marekani bilioni 34 utawahudumia wananchi katika vijiji 14vya Wilaya ya Same na utachukua kiasi cha miezi 18 kukamilika.
Rais Kikwete ataendelea na ziara yake leo, Jumatatu, Oktoba 29, 2012 kwa kuzindua Kiwanda cha Tangawizi kilichoko Mamba Miamba na kufanya mkutano hadhara na wananchi. Baadaye kesho, Rais Kikwete atazindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Asha-Rose Migiro iliyoko Mwanga.
Imetolewa na:
Kurugenziya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu. Dares Salaam.
29Oktoba, 2012
My Take:
Hivi ni nani aliyekuwa anachochea ukabila kama sio CCM?? Kwahiyo na udini unachochewa na CCM? Je, JK anakishtaki chama chake kwa wananchi???
Hiyo ni kwa hisani ya wanachama wa CDMHili taarifa ni kutoka gazetini au ikulu.?
Hivi tulichagueje mtu wa aina hii awe raisi, daa tulilogwa vibaya sana zamani wakati nakua nikajua mtu hadi awe raisi ni lazma awe na uwezo mkubwa sana wa hekima,busaea na kufikiri anachokiongea kumbe ata asie jua anachoingea anaweza kua raisi
unatumia nini mkuu?brown sugar au za uwanja wa fisi?
Mtu akiwa nyuma ya keyboard anajiamini.Jitokezeni hadharani mseme hayo maneno machafu machafu muone.Huu ni ushamba kutukana viongozi hovyo