Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,334
- 72,798
Pamoja na madhaifu yako kadhaa wakati wa utawala wako huyu mrithi wako sasa amepitiliza katika kukusema kama ulikuwa na kauli za uongo na ni mtu uliyefanya mambo ya Bure bure hasa pale inapofikia mahali anataka kukwepa kuwajibika kwa serikali kukabili majanga kama tetemeko, ukame nk.
Mrithi wako alikuwepo ndani ya serikali yako kama Waziri kamili kwa miaka 10 yote na tunakumbuka alikuwa akikusifu sana, jee huo sio unafiki?
Ukosoaji huo ungefanywa na wapinzani ingeeleweka lakini kutokea kwa msaidizi wako tena kwa kebehi haikubaliki.
Toka hadharani jitetee na kumjibu vinginevyo unazidi kudhalilishwa hata kwa makosa yakwake mwenyewe.