REDET wangesema JK ni wa kwanza Afrika! Shame on them!
RAIS Jakaya Kikwete ni wa 10 kati ya viongozi 52 wa Afrika kwa kuchapa kazi katika mwaka 2010 kwa mujibu wa jarida la East African.
Katika toleo lake la Desemba 27, 2010 hadi Januari 2 mwaka huu, jarida la East African limetoa orodha yake kulingana na ufanisi wa marais wa Afrika katika nyanja mbalimbali za maendeleo kwa mwaka 2010.
Kwa mujibu wa jarida hilo, aliyeshika nafasi ya kwanza kwa ubora ni Waziri Mkuu wa Mauritius, Navinchandra Ramgoolam, akifuatiwa na Rais wa Jamhuri ya Cape Verde, Pedro Verona Rodriques Pire.
Nafasi ya tatu imeshikwa na Rais wa Botswana, Seretse Ian Khama wakati ile ya nne imeshikwa na Rais wa Ghana, John Evans Atta Mills.
Wengine waliofuata ni Hifikepunye Pohamba wa Namibia (wa tano), Jacob Zuma wa Afrika Kusini (wa sita), James Michel wa Shelisheli (wa saba), Amadou Toure wa Mali (wa nane) na Ernest Bai Koroma wa Sierra Leone (wa tisa).
Baada ya Jakaya Kikwete wa Tanzania kushika nafasi ya kumi, anayefuata ni Ellen Johnson-Sirleaf wa Liberia (11) na Rupiah Banda wa Zambia (12).
Walioshika nafasi za mkiani ni Robert Mugabe wa Zimbabwe (47), Sheikh Ahmed wa Somalia (48), Idriss Deby Itno wa Chad (49), Teodoro Mbasogo wa Equatorial Guinea (50), Omar Al-Bashir wa Sudan (51) na Isaias Afweriki wa Eritrea aliyeshika nafasi ya mwisho.
Wa 10 kati ya 52? Hata angekuwa wa 51 bado ninge doubt!

Hata hiyo nafasi ya tisa haistahili kwani hakuna alichoifanyia tanzania kwa miaka 5 aliyokaa madarakani zaidi ya ufisadi na wizi wa halaiki.
Miss Judith, usiseme kwa nguvu watu watakusikia. Hiyo iwe siri yako tu!, LOLkama huyu wetu yuko nafasi ya kumi na hali ya tz ndiyo hii, basi huko kwa walioshika kuanzia ya 11 kuendelea ni sawa na jehanam
Kwani hamjui na hao wanaofanya tafiti wanaandika ili na wao wakalambe miguu ya hao jamaa. Sasa mbona na mshikaji wake wa Bondeni hamshangai amepataje wa sita sijui wakati kila kosa mbaka na kubaka analo. Nyie bwana acheni utani huyu mjamaa ni wa mwisho tu ila tu appearance labda mpaka na watafiti wanakoshwa nalo. Angekuwa Slaa hapa mpaka namba mbili au mmoja angeshika kwa performance yake
Hii yaonyesha kabisa wanaompinga JK wana lao jambo, na hii ni taasisi ya nje ambayo imefanya kazi yake independent kabisaaa
hata awe wa kwanza ktk report ya UN mi bado kwangu ni kiongozi wwa mwisho kabisa! Siamini kama kuna kitu bora anaweza kutufanyia watanzania unless kiwe na maslahi yake.
Ktk listi yangu yeye ni wa mwishooo kabisa, yaani kilazest ktk uongozi