Kikwete vs Lissu, naomba tujikumbushe ya nyuma!

Kikwete vs Lissu, naomba tujikumbushe ya nyuma!



"Siyo tu kauli hiyo ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu."

Raisi naye ana matusi kuliko Yule Mbunge wa Dodoma kwa Malecela..... Hivi kikwete kazaliwa wapi? nahisi uswazi

Ma ccm yote yana matusi Madrasa ni Janga la Taifa
 
Dawa ya Jk Ni kuwalipua wauza Unga tu... Lissu amshikie hapo tu utasikia ananyoosha kibendera cheupe
 
Anamtukuna mtu kwa kusema ukweli na baadae ajajiuma uma kuwa kukubali kuwa kuna tatizo huu hii ni sawa na kujirejeshea Matusi uliyotukana
 
Sidhan kama JK anaweza kujenga hoja nzito zenye maana kama za Lissu, hotuba zake 2 hazina mashiko anaongea ka mwalimu wa Tuisheni ndo useme atasimama na Lissu... Teh!
 
Sitegemei Jk angekuja kwenye media aseme "Ndg. zangu Watanzania Tundu Lisu na CDM walikuwa sahihi kabisa maana Zanzibar hawakushirikishwa hivyo wapongezwe" . Hivi nani wa ccm anaweza kusema haya? Kwa wale wenye uelewa wa falsafa kitendo cha Jk kuunga mkono hoja ya tume kuuwepo kwenye bunge la katiba ambayo ni moja ya hoja za Lisu tayari ameshakubali kuwa lisu yuko sahihi. Pia kitendo cha kusema warudi wakazungumze tayari anakubaliana na lisu na cdm kuwa kuna mapungufu japo hasemi..kwanini asingetamka kuwa sitaki na nitasaini? Halafu wapinzani si kwamba hawtaki mazungumzo ila ndungai ndiye hataki mazungumzo ndio maana alimnyima KUB nafasi ya kuzungumza bungeni

Mtu mzima dawa! Umesema kama vile ulikuwa na JK, haiwezekani amsifu Lisu. Mithali moja husema; Baniani mbaya, kiatu chake dawa. Lo! Sikuamini kama kuna watu walimsikia JK na kumwelewa. JK amemsifu Lisu na upinzani 100 kwa100. Hao Maccm yanayo payuka hovyo huku kwamba kampasha Lisu ni yale ambayo hata ungeyaambia kwamba sasa ni usiku hayakubali mpaka yaseme yenyewe. Tunayajua Maccm. Big up JK kwa kuona uozo wa hayo Ma-bunge ya Ki-sii sii eem yanayosema Ndiyoooo hata kwa ujinga wa mtu mmoja aitwaye ndungai.
Wanaharibu mchakato kwa kumleta mtu kutoka Zenji aje anywe maziwa ya Kongwa pale bungeni na kusema "Hata kule kwetu Zenji niliwaona" kapewa pakiti za maziwa na perdem yake akaondoka.
JK kakuambieni, Rudieni. Kwisha kazi.
Ndungai, jitayarishe na mchezo mwingine mchafu dhidi ya Lisu Jembe.
 
Nilichoona hapo JK kamvaa TL ili awafurahishe ccm,ila kwaujumla JK kakataa hoja za CCM na kukubali za TL ndomana amekubali mswaada urudi bungeni.inahitaji akili nyingi kuona hilo.
 


"Siyo tu kauli hiyo ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu." [/SIZ
]


Busara itumike, hivi Tundu Lissu akitumia maneno kama haya kwa JK, saa hiyo hiyo. atapelekwa gerezani kwamba amemtukana rais!

HISTORIA INAJURUDIA: Ulimboka alishutumiwa kama. hivi mwisho wa siku aling'olewa kucha na meno bila ganzi! TUNDU LISU KUWA MAKINI HUENDA YAKAKUTOKEA YA ULIMBOKA, AU AJALI YA KUBUMBA.
 
Ha haaa jk mzee wa niambiwa, hakika watanzania tujifunze mwaka 2015 tusirudie makosa!
Pale kuna koti hakuna rais,bora sikumpigia kura,unawezaje sema tunarais wakati anaambiwa nin chakufanya hata kula anaambiwa..
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida nilimshuhudia Rais Kikwete akitumia neno ambalo mimi binafsi niliona siyo sahihi kutumika kuwaelezea Watanzania. Alisema Tundulisu ni MZANDIKI. Hili neno kwa uelewa wangu halikuwa zuri kusemwa na Rais mbele ya Umma
Akili za Taarabu zile usimshangae...
 
wewe dada ondoa uswahili hapa akili yako imeganda kama ya wazazi wako na ya viongozi wa ccm, ukitetea ccm na jk unatakiwa uwe na akili ya maiti, peleke pumbazo huko, LISSU HAHITAJI PROMO ZENU WENYE AKILI TIMAMU TUMESHAJUA KILICHO MBELE YETU,


"Siyo tu kauli hiyo ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu."
 
Watu wa buku saba za Lumumba mna roho ngumu, hivi hamjishtukii kwa jinsi JK alivyowaruka kwa kusikiliza wapinzani kwa kurudisha tena muswada Bungeni?
 
JK anajua kuwa TUNDU LISU ana matatizo ya akili na alishaugua kichaa. so kauli hiyo ilikuwa na maana kubwa na ujumbe mzito kwa watanzania. kwa maana mtu kichaa anaweza kuleta maangamizi kwa muda mfupi

ukiwa unaoga kichaa akaja ukachukua nguo zako akakimbia nazo utafanya nini ili nawe usionekane kuwa ni chizi kama yeye?
 


"Siyo tu kauli hiyo ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu."
Mnajitahidi sana kuwaaminisha watanzania kuwa kauli za tundu lisu ni za uongo wakati sisi wenyewe tunamfahamu kwa umakini wake na amewashinda mara kibao mahakamani na bungeni pamoja na kumtumia spika wenu wa kichina na naibu wake! ona sasa mswada unarudi bungeni hilo ni pigo jingine kwa maccm! poleni sana wanafiki nyie!
 
wadau, jana mkuu wa kaya alimchana live jembe la ukweli tundu lissu! Lakini naomba mwenye video clip ya yale maneno ya mkuu kuhusu tundu lissu kwenda bungeni, plz tuwekeeni ili ukweli udhihirike kuwa jk anamhanya tundu tangu kitambo! (samahani kwa ku2mia lugha ya vijana wa dijitali, am sorry)
utafiti unaonyesha kuwa
thamani ya tundu lissu ni zaidi ya wanasheria wote east and central africa !
 


"Siyo tu kauli hiyo ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu."
mfano hayo kwa bahati mbaya yakawa maneno ya babangu kwa kakangu mkubwa...wallaaah naanza kufanya tiz ya kuwa head wa family maana duh...kama kamshindwa bro vile?au hisia zangu tu?
 
Mtu mzima dawa! Umesema kama vile ulikuwa na JK, haiwezekani amsifu Lisu. Mithali moja husema; Baniani mbaya, kiatu chake dawa. Lo! Sikuamini kama kuna watu walimsikia JK na kumwelewa. JK amemsifu Lisu na upinzani 100 kwa100. Hao Maccm yanayo payuka hovyo huku kwamba kampasha Lisu ni yale ambayo hata ungeyaambia kwamba sasa ni usiku hayakubali mpaka yaseme yenyewe. Tunayajua Maccm. Big up JK kwa kuona uozo wa hayo Ma-bunge ya Ki-sii sii eem yanayosema Ndiyoooo hata kwa ujinga wa mtu mmoja aitwaye ndungai.
Wanaharibu mchakato kwa kumleta mtu kutoka Zenji aje anywe maziwa ya Kongwa pale bungeni na kusema "Hata kule kwetu Zenji niliwaona" kapewa pakiti za maziwa na perdem yake akaondoka.
JK kakuambieni, Rudieni. Kwisha kazi.
Ndungai, jitayarishe na mchezo mwingine mchafu dhidi ya Lisu Jembe.
Mkuu umemaliza hapo ni ccm pekee anayeweza kuhoji ukweli wa hayo maneno yako ila nawaongezee ccm kwa kumnukuu JK "Ccm tujiandae kisaikologia mfumo wa serikali tatu". Asante!
 
Back
Top Bottom