Kikwete vs Lissu, naomba tujikumbushe ya nyuma!

Kikwete vs Lissu, naomba tujikumbushe ya nyuma!

"Siyo tu kauli hiyo ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu."

jaman Rais wetu,hv inawezekanaje rais aseme ni kweli kaambiwa kuwa kuna mambo yamekiukwa ktk muswada wa sheria,then useme Tundu lisu ni mwongo?haiwezekani .wananch ni waelewa nw sio wale wa kudanganywa na kofia za kijan na tshirt na kanga.
 
Sasa wewe unakubali TEC na CCT hawakushirikishwa?
 
JK anajua kuwa TUNDU LISU ana matatizo ya akili na alishaugua kichaa. so kauli hiyo ilikuwa na maana kubwa na ujumbe mzito kwa watanzania. kwa maana mtu kichaa anaweza kuleta maangamizi kwa muda mfupi

Kumbe ni kichaa, ndio maana anaongea utumbo. Na misukule inakubali tu.
 
jaman Rais wetu,hv inawezekanaje rais aseme ni kweli kaambiwa kuwa kuna mambo yamekiukwa ktk muswada wa sheria,then useme Tundu lisu ni mwongo?haiwezekani .wananch ni waelewa nw sio wale wa kudanganywa na kofia za kijan na tshirt na kanga.

Ni Tanzania tu ndio tunaweza kuongozwa kwa teknolojia ya kuambiwa hatutaki kufanya homeworks hata kwa mambo muhimu kbsa. Inasikitisha na kukera sana kwamba issue ya katibza ambayo ni very sensitive kwani ndio sheria mama ya nchi mkuu wa nchi anachukilia kama ni kitu cha mipasho ya akina mzee yusuf. Noma sana walahi!
 
Ikulu ipo wazi jamani! Kiongozi mkuu wa nchi anapokuwa mzembe wa kuifuatilia nchi yake ni hatari sana! Inavyoonekana JK anamuogopa sana Lisu.. Swali la kujiuliza hapa ni kwa nini amuogope Mhe. Mbunge mmoja wakati ile ni hoja inayosimamiwa na wapinzani wote?

Amekabwa sana na Lisuphobia!!
 
JK kasalimu amri kwa Lissu. Ni fedheha kwa wabunge wa CCM na makada wao.
 
Wadau, jana mkuu wa kaya alimchana live jembe la ukweli tundu lissu! Lakini naomba mwenye video clip ya yale maneno ya mkuu kuhusu tundu lissu kwenda bungeni, plz tuwekeeni ili ukweli udhihirike kuwa jk anamhanya tundu tangu kitambo! (samahani kwa ku2mia lugha ya vijana wa dijitali, am sorry)

Nasikitika, Jana bosi wangu alitumia KODI yangu vibaya. Kama ile hela ningekuwa naitoa mfukoni jana ile wala aisingeipata. Angekula jeuri yake!
 
JK anajua kuwa TUNDU LISU ana matatizo ya akili na alishaugua kichaa. so kauli hiyo ilikuwa na maana kubwa na ujumbe mzito kwa watanzania. kwa maana mtu kichaa anaweza kuleta maangamizi kwa muda mfupi

Kikwete hana robo ya akili ya lissu,tatizo linalomsumbua ni umbumbu wa uelewa wa mambo.Anatawala kwa kwa majungu na umbea,anatumia akili ndogo kutawala akili kubwa.Raisi mwenye akili timamu anaacha kuongea mambo ya msingi anabakia lissu lissu.Tatizo washauri wenye upeo mdogo,Wassira hajasoma ameishia elimu ya tapa,lukuvi darasa la saba unategemea nini?
 
Ha haaa jk mzee wa niambiwa, hakika watanzania tujifunze mwaka 2015 tusirudie makosa!
 
Sitegemei Jk angekuja kwenye media aseme "Ndg. zangu Watanzania Tundu Lisu na CDM walikuwa sahihi kabisa maana Zanzibar hawakushirikishwa hivyo wapongezwe" . Hivi nani wa ccm anaweza kusema haya? Kwa wale wenye uelewa wa falsafa kitendo cha Jk kuunga mkono hoja ya tume kuuwepo kwenye bunge la katiba ambayo ni moja ya hoja za Lisu tayari ameshakubali kuwa lisu yuko sahihi. Pia kitendo cha kusema warudi wakazungumze tayari anakubaliana na lisu na cdm kuwa kuna mapungufu japo hasemi..kwanini asingetamka kuwa sitaki na nitasaini? Halafu wapinzani si kwamba hawtaki mazungumzo ila ndungai ndiye hataki mazungumzo ndio maana alimnyima KUB nafasi ya kuzungumza bungeni

Hivi wewe uongo aliosema Lissu bungeni kuhusu TEC,CCT na Bakwata unauona sawa tu? Hivi wanachama wa Chadema hata palipo kosewa hamsemi ukweli?
 
Mkuu wa kaya ndio nini maana yake?Try to be open
 
Hakuna cha kuchanwa live.Tangu lini huyo Gamba akawa na la maana zaidi ya kwenda kuombaomba kwa wazungu?
 
Back
Top Bottom