FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
mfano hayo kwa bahati mbaya yakawa maneno ya babangu kwa kakangu mkubwa...wallaaah naanza kufanya tiz ya kuwa head wa family maana duh...kama kamshindwa bro vile?au hisia zangu tu?
Tundu Lissu alipoamua kuzuwa na kutumia TEC na CCT alifanya hivyo kwa makusudi kabisa kufitinisha watu kwa kutumia mgongo wa imani za watu.
Ni mtu hatari na fitna mkubwa sana tena sana tena ni wa kuogopwa sana. Huyu si wakuonewa haya hata kidogo. Ni mtu anaeweza kuleta machafuko kwenye nchi kwa kauli zake za unafik na uzandik.