Kikwete unamuogopa Mwakyembe


Ukiwa WAZIRI ndiyo unajiondolea mwenyewe majukumu ya kulihudumia Jimbo lako sababusasa unafanya kazi za kitaifa?Watu mna miss point muhimu sana hapa!

Dr Mwakyembe hata tumepata mafuriko makubwa Kyela kaja na kakaa masaa tu,anaulizwa mbona unaondoka kabla hata maiti za watu bado hazipatikana na unaondoka bila hata ya kuacha mipango jinsi ya kusaidia akina Mama na watoto waliokosa mahaki pa kukaa yy anajibu"nina kazi nyingi za kitaifa"

Alijisahau kuwa ili awe WAZIRI lzm awe Mbunge!Sasa tunamuondoa ili awe mbunge wa kuteuliwa aendelee na UWAZIRI WAKE
 
Wewe uanashindwa kuona kwamba alihangaika sana na TAZARA sio ndio inakwenda huko kwenu? na Songwe airport havitoshi tu hivi?

Fazili, achana ha huyu jamaa, huu ni ubinafsi uliopitiliza. Kwani Mwakyembe anayo bajeti ya kwake au ni ile ya nchi nzima. Yaani unashangilia wale wanaopendelea maeneo yako kwa gharama ya watanzania wote? Mwakyembe ni "presidential material" hawezi kufanya ujinga kama huo. Ninaamini yeye akiteuliwa na CCM anaweza kushinda kama upinzani ukifanya makosa katika uteuzi wa mgombea wao. Kama sio Mwakyembe, atakayesimamishwa na upinzani atashinda tu, hata kama hana sifa.
 
 

Mwakyembe HAWEZI shinda Ubunge Kyela,hata ndani ya CCM kura za maoni hawezi pita

Ya kuwa Rais siwezi sema lolote lkn kwa Ubunge kupitia Kyela asahau
 

Ulichosema ni sahihi kabisa, tushasema sana hapa kuhusu hii Eac, kiuhalisia kabisa, ilihitaji mtu mmpambanaji hasa kama mwakyembe, kwa sbb ya uchokozi na mbinu za hawa wenzetu kwenye jumuia. Sipat mantiki kusema au kuona kuwa huku ni kushushwa cheo, nnachaamini ni kuwa, kaona ugumu wa hii wizara na ndio maana kampeleka huku.
Sitta sina tatizo nae akisimama kwa akili yake, matatizo makubwa ya huyu mzee huwa hawezi kujibeba, ni kama PANYA! Anauma na kupuliza, na akitikiswa sana si ajabu ndo ukawa mwisho wake.
 
Mwakyembe ndo amesaidia uwanja wa ndege wa MBEYA kuanza kazi, mlitaka nn zaidi?
 
Rais wetu hajawahi kuweza kufikiri kimkakati. Ndo maana hawezi kufanya strategic issues na badala yake ameegemea sana kwenye siasa. Mwakyembe ameleta mabadiliko pale wizarani. Kwa sababu wananchi wanaanza kumsifia Rais anaona wivu anasikiliza majungu.

Sitta yeye anataka kulipwa fadhila kwa kusimami Bunge la katiba na kuwapa ushindi watawala. Na ndicho alichofanya JK kwa sababu kule EA hakumkutanishi Sitta na Wanachi. Utaratibu huu hautaliletea Taifa letu Tija yoyote.

Aibu sana




 

If so, why not tangu mwanzo???!!!
Au manyang'au wamezaliwa 2015
 

EAC haiendi kwa utashi wa waziri ila state yote kwa umoja wake angalia mifano ya nchi zinazotuzunguka marais wanasukuma zaid movements zao!!!
Angalia vibrancy na caliber ya wawakilishi wao!!!

Tusizunguke mbuyu!!!
 
Mwakyembe ndo amesaidia uwanja wa ndege wa MBEYA kuanza kazi, mlitaka nn zaidi?

Go check ur fact
Songwe International Airport ulipendekezwa hadi uitwe Prof Mwandosya International Airport tuki zithamini juhudi za Mwandosya kupata kiwanja hiki!Dr Mwakyembe has nothing to do with Songwe
 
Dr. Mwakyembe, out-shined his master, he is now paying for that sin!
 
Watu wa kyela hawana utani,
Nakumbuka yaliyomkuta Mwakipesile miaka ile.
 

kwahiyo unakubali kuwa alifika? kuna mtu kadanganya kuwa hajafika kyela kwa 100%
 
wananchi wa jimbo la kyela tulipata faraja kubwa baada ya kukabidhiwa wizara hii, umeshindwa kuiga kwa mawaziri wenzio,

Wewe sio mtu mwema,na huna nia njema na nchi hii.hivi unaelewa ulichoandika kwenye heading ya hii post yako?halafu bado unasisitiza kwenye comment.kiufupi ni kwamba hilo unalosema halipo siku hizi!HAIWEZEKANI KUPELEKA MELI KYELA KABLA YA MWANZA AU DAR.ZILE NI AHADI ZA RAISI NA MWAKIEMBE ASINGEWEZA KUBADILISHA.HAYA MAWAZO YAKO YAISHIE HUKO HUKO KYELA.
 
Kwanza Kwanini mleta mada ame edit content?mada haikueleza hivi mwanzo,jamaa amebadilisha ndani ila kashindwa kubadili kichwa cha habari kwakua huwa haiwezekani bila msaada wa moderator.
cc;Mohamed Mbelwa,Malafyale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…