Kikwete unamuogopa Mwakyembe

Kikwete unamuogopa Mwakyembe

Mjadala kuhusu issue ya Dr Mwakyembe kuondolewa pale uchukuz uko kila mahali na maswali ni mengi sana kuliko majibu. Ni shida kwa kweli.

Yaan tena zaidi ya shida.. Ni vile tuu kwamba wote tunalifahamu kaburi au kwa kuliona tena linapokuwa wazi au kwa wakati marehemu akiwekwa ndan yake. ila hakuna hata mmoja ajuae kunanini/kitugan hutokea ndan ya kaburi mara baada ya kaburi lile kufukiwa/kufunikwa.
 
Mjadala kuhusu issue ya Dr Mwakyembe kuondolewa pale uchukuz uko kila mahali na maswali ni mengi sana kuliko majibu. Ni shida kwa kweli.

Watanzania wanaona na kutambua,kikwete ananifanya nimfaninishe na fundi cherehani anaeshona nguo kwa kuziba sehemu zisikuwa na shida na anaacha zle ziko wazi
 
wananchi wa jimbo la kyela tulipata faraja kubwa baada ya kukabidhiwa wizara hii, umeshindwa kuiga kwa mawaziri wenzio,

Zipo taarifa kwamba hata uwaziri wenyewe alipewa kwa huruma tu baada ya kubabuka ngozi , it was not real !
 
Ningekuwa na uwezo wa kupeleka hii miezi iliyobaki iende haraka ningeizungusha kwa speed ya light..huyu jamaa aondoke zake..tushachoka usanii wako sema hatuna namna tu..
Wizara nyeti ya Ardhi unamuweka mwanasiasa..what a shame Mr/Dr/Prof..
 
Wewe uanashindwa kuona kwamba alihangaika sana na TAZARA sio ndio inakwenda huko kwenu? na Songwe airport havitoshi tu hivi?

Hapo kwenye bold. Kama hujui kitu fanya ukae kimya dogo. Huo uwanja umeanza zaidi ya miaka 12 iliyopita enzi hizo Mwandosya akiwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi. Mwakyembe hana mchango wowote pale, zaidi zaidi ni wafitini wa kisiasa kwa mkoa wa mbeya kuona aibu kwa kutoukamilisha ndio sababu iliyopelekea waukamilishe.
 
Nilikuwa.sifahamu.kuwa.kwenda wizara ya.afrika.mashariki ni.adhabu na.kwamba kuna.watu.hawafai.kuitumikia ile.wizara
 
Kama huijui Kyela nyamaza tafadhali
Kyela tuna bandari HAJAWAHI igusa hata kwa miundo mbinu kila siku tunaona anaimarisha bandai ya Dar,Mwanza na Tanga
Kyela tuna meli chakavu zinazo zima katikati ya ziwa kila siku lkn ni Mwakyembe aliyeipa Mwanza hela za meli mpya!

Mwakyembe ni mbunge wa hovyo hovyo kupata kutokea ktk Wilaya ya Kyela na hawezi shinda hata kura za maoni
achilia mbali kupambana na CHADEMA

Kuna watu mna vituko, et mwakyembe aliwapa hela mwanza kwa ajil ya meli. Mwakyembe ana pesa za namna hiyo???

Kwa hiyo mulitaka kutumia uwaziri wake kuwafavor ninyi coz ni jimbo lake??? Non sense
 
Yule hawaz itwa waziri wa kyela ila anaweza itwa mbunge wa kyela. Usimlaum kaka
 
Kwa kumtoa Mwakyembe akili inagoma kuelewa alafu unamleta Sita wa katiba....anatiii hata Kama inaua nchiiii.
au kuziba deal za familia...ndio adhabu...au kagoma meli za katibu zisipatee favour.....ndio matokeooo

Mwakyembe kuwa makini na JK muulize Mmasai....pia unajifanya kukataa kumsupport mgombea wa familia teule...sasa imekuadhibu...shikamoo Membee......mtoto wa mkulima umemtolea njeee.....nani wa kukusupport ndani ya system huku hakuna Suala la uwajibikajiiii ni umetufanyia nini na familia zetuuu.
uliza Mzee wa kulia alisemaje janaaa...alipopewaa issue yakooo...... Hongera a CCM...
 
wananchi wa jimbo la kyela tulipata faraja kubwa baada ya kukabidhiwa wizara hii, umeshindwa kuiga kwa mawaziri wenzio,

Sasa hivi yuko wizara ya afrika mashariki labda akawa sogezea kenya iwe karibu na kyela
 
Mbona muhongo kapewa nishati na madini kapeleka umeme kwao mpaka leo wanamuona shujaa wakati wengine tunamuona jambazi.

kwani REA haijafika kyela?umeme umeenda sehemu zote na bado utasambazwa.sio huruma ya mtu flani.
 
Back
Top Bottom