State visit: Tanzania
President Kikwete visits Thursday
By ALEXANDER BURNS | 05/19/09 5:34 PM
The administration announced Tuesday that President Obama will be receiving Tanzanian President Jakaya Kikwete ...
this Thursday, May 21, at the White House.
From the White House statement: "Tanzania is a strong partner in sub-Saharan Africa, and the two leaders will meet to discuss a wide range of regional and bilateral issues, including how the United States can support sound governance, economic development, and stability throughout the continent. President Obama looks forward to working closely with President Kikwete to tackle shared challenges, including the global financial crisis and its impact on sub-Saharan Africa."
Kwa mujibu ya matangazo ya bbc idhaa ya kiswahili yanayosikika hapa dar es salam,
jk atakutana na obama ikulu ya marekani, ambapo watazungumzia maswala mbalimbali yanayohusu nchi zetu
kikwete anakuwa rais wa kwanza wa afrika kusini mwa jangwa la sahara kukutana na obama

Nani ana-jali? Hakutobadirisha maisha ya kila siku ya mtanzania.
Safi sana, down to the record books soon!kikwete anakuwa rais wa kwanza wa afrika kusini mwa jangwa la sahara kukutana na obama
Mchambuzi wa Sera wa Kampuni ya Google ya Marekani, Jake Hubert, akielezea mtandao wa kampuni hiyo unavyofanya kazi kwa Rais Juma Kilaza aliyetembelea kampuni hiyo juzi mchana katika eneo la Silicon Valley, San Jose, California
Wabongo tunanufaikaje hapo? SteveD alisema ni sawa unapotembelea kiwanda cha soda unashangaa jamaa machine zinavyofanya kazi! Hapa kweli tumeliwa haswa!
Acheni kibehi
Mtu huwezi kupata challenge za kufikirika Lazima uone wengine wanafanya nini ili upate uchungu nawe uje u Deploy zaidi.
Kwani unaweza kupata uchungu wa marehemu wakati hakuna aliyefariki.? JK kaona Google nimatumaini yetu atakuja kututatanzia Fibre Optics kutokana na aliyoyaona.
Hata mimi ningekuwa mshauri wa JK mambo ya ufisadi ningemshauri ayaweke kando na aangalie the way foward.
Mliopo Washington DC,Rais atakutana na Watanzania briefly kabla ya kumaliza ziara yake...Tafuteni time muulizie Embassy ama kwa Sokoine au Mama Munanka,ni kipindi kizuri cha kumuomba ufafanuzi wa issues za nyumbani...kama kuna chochote kipya tutafahamishana hapa.
Rais atakutana na Rais Obama (White House) kesho saa tano asubuhi (Eastern time) na kutakuwa na Press release kwa vyombo mbali mbali vya habari.