Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

Ukawa na vifaranga vyake Walisha sema hata uweke m.----- wao wataupigia kura kuwa Rais

Wenya akili wanafahamu hakuna dola iliyoanguka softly!!

So CCM inakwenda kuanguka kama ilivyoanguka KANU...
 
Kinara wa Ufusadi nchini ni yule mgombea alie enda haja kubwa kwenye mkutano wa hadhara Geita ikabidi Mr zero ampeleke chooni akabadilishwa na suruali,akapanda jukwaani na suruali nyingine

Ahaa sio yule aliyedondoka live pale jangwani?
 
Kinara wa Ufusadi nchini ni yule mgombea alie enda haja kubwa kwenye mkutano wa hadhara Geita ikabidi Mr zero ampeleke chooni akabadilishwa na suruali,akapanda jukwaani na suruali nyingine

Ile ya geita ni aibu sana mgombea kwenda haja kubwa jukwaani bila yeye kujua! Imeingia kwenye historia ya taifa letu akishinda URAIS atakua ni Rais alie maliza haja kubwa kubwa jukwaani!
 
Kinara wa ufisadi nchini ni nani?

Hata angekuwa yeye kwani hawezi kubadilika?

Mbina Sauli alikuwa Muuwaji baadae akageuka mhubiri injili ambaye ndiye mtume Paulo?
Kinara wa Ufusadi nchini ni yule mgombea alie enda haja kubwa kwenye mkutano wa hadhara Geita ikabidi Mr zero ampeleke chooni akabadilishwa na suruali,akapanda jukwaani na suruali nyingine
 
Kinara wa Ufusadi nchini ni yule mgombea alie enda haja kubwa kwenye mkutano wa hadhara Geita ikabidi Mr zero ampeleke chooni akabadilishwa na suruali,akapanda jukwaani na suruali nyingine

Akili hizi ndo zimewafanya mumpe mileage Lowassa na kuzamisha chama chenu...

Nje ya mipasho..fitina na majungu hamuwezi endesha siasa..

timu ya watu 32 imeshindwa kuleta impact kwa Magufuli!!!
 
Lusungo hivi mgombea kutoka jukwaani akarudi na suruali nyingine maana yake ni nini?
 
Ile ya geita ni aibu sana mgombea kwenda haja kubwa jukwaani bila yeye kujua! Imeingia kwenye historia ya taifa letu akishinda URAIS atakua ni Rais alie maliza haja kubwa kubwa jukwaani!

Ndio maana hata mnaowatuma kwenye midahalo hushindwa kupambana kwa hoja na kuishia kwenye matusi.
 
Iv y huyu mstaafu wanatumia a.k.a ya zero?plz nijuzen
 
Kikwete alijiamini kupita kiasi,ali~overestimate uwezo wake wa kuinfluence mambo.

Alikosea sana kumu~underrate Lowasa.Now his house of cards is coming down like hell.
Jaji Lubuva ndio amegongea msumari wa mwisho kwenye jeneza la CCM.

Matokeo yote yanabandikwa vituoni
 
Ukitaka kujua kama wanamuelewa angalia namna wanavyohaha usiku na mchana kuvuruga nguvu ya UKAWA kwa kununua Viongozi,wanachama,vyombo vya habari na kupanga mikakati ovu dhidi ya wana "Mabadiliko".
 
Zero nae anaeleweka?

Huyo ataemuelewa ni mpumbavu mwenzake tu.
 
Mleta mada na wewe unajiita Silver brain?
 
Hapo ndipo CCM itafia.
 
Mtu asiyemjua Rais wa Libya wala Kuwait ndo aogopwe na Lowassa?

Magufuli aogope mchovu wenu anae ongea dakika 3 tena kwa kusahau maneno,juzi Bukoba ana sema WAFUGAJI WA KAHAWA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…