CCM ni shida. Hawana kitu vichwani. Mh.Rais hajui kwa nini watu wake maskini wakati kuna kila kitu. Ngumu sana kumuelewa graduate wa Harvard university.
Na mgombea wao naye kituko. Jamaa anapenda kuangalizia vya wenzake. Eti M4C kaifanya yake. Ph.D haitendei haki. Wanataaluma wa UDSM jaribuni kukaa tena,nina wasiwasi na JPM.

Aaaaa nimemkumbuka CHANDIMU, amakweli michezo ya watoto (CHANDIMU) haikeshi. Makongoro kapotelea palepale Jangwani
Mr Zero anasema miaka 50 CCM haijafanya kitu,Tido ana muuliza wewe ulikua Waziri Mkuu miaka 10 si ndio hiyo infanya 50??? Mr Zero anasema yeye alikua anafanya kazi sana hata likizo hakwenda! what a bogus old fool!
hahahahaw.....Mr Zero anasema miaka 50 CCM haijafanya kitu,Tido ana muuliza wewe ulikua Waziri Mkuu miaka 10 si ndio hiyo infanya 50??? Mr Zero anasema yeye alikua anafanya kazi sana hata likizo hakwenda! what a bogus old fool!
Mr Zero ana UliZwa shamba la Mvomero anasema ni dhambi kumiliki ekari 300,ukawa mnamuelewa nyie tu Mr Zero
hahahahaw.....
kuna mda niliona kapost kako umejidai we sio mtanzania nami nikasadiki kumbe nawe ni walewale stones level
alaf kiswahili unakijua tena kile cha kanga moko
muda mwingne uwe unafanya hata hivi ✌✌ kwa kujiiba
si unaona ad magufuli uwa anafanya
jingalao wewe 
Daaah,tukifungia Jangwani itakuwa raha sana maana ule ufunguzi tu ulikuwa burudani tupu.