Kikwete safari tena, Marekani na Botswana

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na baada ya hapo ataunga moja kwa moja kwa mkuu mwingine Ian khama wa Botswana,Rais khama amealika maraisi kadhaa kuhudhuria mkutano wa global worming,lakini kwa nchi zingine imeonekana mawaziri wenya wizara zinazohusika na mambo hayo wahudhurie kuwakilisha marais wao,hapa kwetu mkuu mwenyewe ataongoza timu ya watu 47 kuelekea kwenye mkutano huo wa aina yake!
 
Ya ngapi hii? Hata vaso da gama atatiushiwatittle yake. Hivi ni posho za safari zinazo mzuzua au ni ulimbukeni tu?
 
Akirudi tu rais huyu mtalii anakuja kuwa tangazia ndoa ya jinsia moja na huyu bwana siatangaze tu kuwa waziri mambo ya nje ni yeye?
 
Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na baada ya hapo ataunga moja kwa moja kwa mkuu mwingine Ian khama wa Botswana,Rais khama amealika maraisi kadhaa kuhudhuria mkutano wa global worming,lakini kwa nchi zingine imeonekana mawaziri wenya wizara zinazohusika na mambo hayo wahudhurie kuwakilisha marais wao,hapa kwetu mkuu mwenyewe ataongoza timu ya watu 47 kuelekea kwenye mkutano huo wa aina yake!

hapa hatuna rais; Tz utata mtupu
labda anaenda kumskiliza Obama alichokisema jana ambacho kila anasktika!!!!!!!!!!!
 
Inawezekana Rais wetu ni mgonjwa huwa anakwenda kuonana na daktari wake mdhungu, vinginevyo haingii akilini kila siku awe yuko nje ya nchi kuhudhuria mikutano, kama wote wangekuwa wanasafiri namna hii basi kila siku tungekuwa tunapokea wageni
 
ndo maana watu kama hawa hiwa rahis sana kupinduliwa !!
 
Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na baada ya hapo ataunga moja kwa moja kwa mkuu mwingine Ian khama wa Botswana,Rais khama amealika maraisi kadhaa kuhudhuria mkutano wa global worming,lakini kwa nchi zingine imeonekana mawaziri wenya wizara zinazohusika na mambo hayo wahudhurie kuwakilisha marais wao,hapa kwetu mkuu mwenyewe ataongoza timu ya watu 47 kuelekea kwenye mkutano huo wa aina yake!

chanzo cha taarifa kiko wapi? ......
 
Jambo la kujiuliza, kabla ya kupata madaraka, alikuwa anapenda safari? kama sio basi
.
"MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUJUE TABIA YAKO".
 
Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na baada ya hapo ataunga moja kwa moja kwa mkuu mwingine Ian khama wa Botswana,Rais khama amealika maraisi kadhaa kuhudhuria mkutano wa global worming,lakini kwa nchi zingine imeonekana mawaziri wenya wizara zinazohusika na mambo hayo wahudhurie kuwakilisha marais wao,hapa kwetu mkuu mwenyewe ataongoza timu ya watu 47 kuelekea kwenye mkutano huo wa aina yake!

kama sijakosea leo au kesho kamati kuu ya magamba inakutana dodoma
 
Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na baada ya hapo ataunga moja kwa moja kwa mkuu mwingine Ian khama wa Botswana,Rais khama amealika maraisi kadhaa kuhudhuria mkutano wa global worming,lakini kwa nchi zingine imeonekana mawaziri wenya wizara zinazohusika na mambo hayo wahudhurie kuwakilisha marais wao,hapa kwetu mkuu mwenyewe ataongoza timu ya watu 47 kuelekea kwenye mkutano huo wa aina yake!
Hapa wakuu nimeamini sasa tuna viwavi jeshi sio watawala,nchi inafilisiwa ni lini miradi ya maendeleo itafikiliwa????
 
Inaelekea Ikulu hakuna kazi na hivyo anakuwa bored sana pale magogoni!
 
Lazima ndege ihanguke pacific wakati huu ,kama amekukaribisha kuwa naye kwenye safari mwambie naumwa,siyo mambo ya Sheih Yahaya bali malalamiko ya wananchi wa Tanzania
 
Inaelekea Ikulu hakuna kazi na hivyo anakuwa bored sana pale magogoni!

Lukuvi alisema kuna majini pale magogoni yanamkosesha amani na ndio maana anakimbia kimbia kwenda nje!!
 
Hivi hizi safari zinalipiwa na hao wanaoalika au ni Kodi zetu ndo zinatumika?
 
Back
Top Bottom