Kikwete safari tena, Marekani na Botswana

Mhh sio bure kama sio anaenda kutibiwa.Atakuwa world record ameingia
 
Kati ya Mawaziri/Naibu Mawaziri 51 Kikwete haoni hata mmoja anayefaa kuhudhuria hizi endless meeetings nje ya nchi? Kama hawafai wako kwa manufaa ya nani? Kwenye huu mkutano wa World Economic Forum - Ethiopia, Kenya wamewakilishwa na Waziri, hapa kuna nini kila mahali lazima aende Rais? Hawaamini mawaziri wake? Au anatumbia ni mambumbumbu?

Au huyu rais ameajiriwa ofisi nyingine nje ya nchi? Ningetaka nione sasa rais anawakilishwa nje ya nchi na sio kila mkutano yeye yupo!
 
Kuna mtu alitoa uzi hapa kwamba Rais wa Botswana ni chakula...Kuna nini ambacho tunaweza kunufaika nacho kutoka Botswana:wacko:
 
Safari za ndani hazina mafao. Jamaa kagundua njia rahisi ya kuvuta mshiko kwa kutumia DSA badala ya 10 %.
 
Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na baada ya hapo ataunga moja kwa moja kwa mkuu mwingine Ian khama wa Botswana,Rais khama amealika maraisi kadhaa kuhudhuria mkutano wa global worming,lakini kwa nchi zingine imeonekana mawaziri wenya wizara zinazohusika na mambo hayo wahudhurie kuwakilisha marais wao,hapa kwetu mkuu mwenyewe ataongoza timu ya watu 47 kuelekea kwenye mkutano huo wa aina yake!

Hapo kwenye red, tutapona kweli? Sikujua kuna hili janga! Na ndiyo maana ameenda mkulu mwenyewe na delegation kubwa hivyo, lol!
 
Nnasisitiza kama yupo mwenye taarifa sahihi atuwekee safari alizowahi kusafiri huyu bwana Kikwete ili tuzijue gharama ni kiasi gani,kwa taifa masikini kama hili la Tanzania.

Ethiopia ilikua safari ya 327
Marekani kupitisha ushoga 328
Botswana kwa Msaidizi wamama 329
Mwambie na aliye uliza gharama ni za nini, Trip moja sio chini ya 600,000,000/= yaani mafuta ya ile jet, yeye, wasaidizi wote na mengineyo kama Disco, masholi.
 
Mi sasa namuombea ndege ije ianguke tu, labda ndo atakoma. yaani yeye kila kitu ni yeye tu.
 
Inawezekana Rais wetu ni mgonjwa huwa anakwenda kuonana na daktari wake mdhungu, vinginevyo haingii akilini kila siku awe yuko nje ya nchi kuhudhuria mikutano, kama wote wangekuwa wanasafiri namna hii basi kila siku tungekuwa tunapokea wageni

Ndugu yangu umelenga palepale! Haikosi huyu mtu ni mgonjwa tena serious anakwenda kwa ajili ya 'follow ups'
Nikikumbuka na anavyoangukaanguka hovyo bila maelezo ya kuridhisha haikosi anaumwa
Ipo siku tutajua ukweli hata wakituzuga vipi!
 
Mama yangu, anaenda kuonana na Obama, hatarudi na ushoga kweli huyu nyie....mbona hili ni tukio linalofata baada ya kumteua Mbatia na Obama kutoa tamko la Ushoga
 
Ndugu yangu umelenga palepale! Haikosi huyu mtu ni mgonjwa tena serious anakwenda kwa ajili ya 'follow ups'
Nikikumbuka na anavyoangukaanguka hovyo bila maelezo ya kuridhisha haikosi anaumwa
Ipo siku tutajua ukweli hata wakituzuga vipi!

Kama ni kweli baaasi ni ruksa, mwacheni apiganie afya yake kuvuta mda mpaka 2015, akifuta kabla itatugharim jamani
 
#include<stdio.h>
#include<trips.h>
#define START 2005
#define END 2015

int main(void){
int safari_counter = 0;

while(1){
safari_counter++;
}
printf("Total number of trips %d ", safari_counter);
return 0;
}
 
Hivi haya mazoba yenye ma-nguo ya madoa madoa nayo hayatuhurumii? Hiki kipanzi kilikuwa cha kupiga BAN huko huko! Natamani niingie huko niyahamasishe lakini naogopa yatanigawana kabla sijamaliza kujenga hoja! Yaani huyu mtalii ni rahisi sana kumpiga BAN. Lakini MENDE naye si alalamike?! Kwa nini wanaingilia majukumu yake hivyo! Watu wa Pwani hawana haya inakuwaje kwenye mkutano Rais unakuwa peke yako unajichanganya na mawaziri? ndo maana hatuishi kudharaulika. Mkulu mwenyewe ndo huyo!
 
Kuna wapumbafu wataosema eti ni u-pwani. Eti hawana uwezo wa kujiongoza, sembuse kuongoza.

Mimi naamini binaadamu wote ni sawa na ni uwezo tofauti wa watu kuona nje ya boksi. Kama hauelewi sabau ya vitu unavyoona mbele yako, basi ni wakati muafaka wa kujiangalia wewe mwenyewe.
 
Botwana ina wataalam wengi kutoka Tanzania.
Dokezo la nchi ya Botswana ni hizi..BBC News - Botswana country profile - Overviewl Pengine mambo ya a kujifunza kwao: Botswana ni moja ya nchi zinazoheshimika kwa kutokuwa na Rushwa, Zina matibabu ya kuaminika ya Ukimwi kwa vile kuna kiwango cha juu cha uathirika wa HIV/AID na katika watu watatu wenye virusi vya ukimwi mmoja atapata ukimwi na pia ni nchi inayoongoza duniani kwa kuchimba almasi...
 
Back
Top Bottom