‘Kikwete’s remarks on FDLR shocking’


But how else did you want Kikwete to say it? If the agenda on the table was sustainable peace in DRC, and the region at large, i tend think that Kikwete was right, especially if you look at the matter with wide scope. And yes, Kikwete as the head of state has every reason to say so because Tanzania has been always affected by these situations in neighboring countries, including Rwanda.

Another reason has been stated by the Rwanda's minister of foreign affairs when she said that last year FDLR attacked Rwanda and killed two more, adding the 1994 death toll if Rwandans. Negotiations are to ensure security of our citizens in the region.

Mushikiwabo's remarks reveal self pride rather than the attitude to end the crisis once and for all. Remember, at a given point (before1994) Kagame and his group were regarded rebels and many Tutsi were given care in Tanzania. Habyalimana refused talks with you and how he is nowhere to be found, but you are. I think you need to learn from history which, unfortunately and God forbid, tends to REPEAT itself!

In my view, talks with FDLR and other rebel groups that are opposed to our governments in the region and other African countries may be another option to consider, after the military efforts failed for 2 decades (19 years) to disarm and destroy FDLR’s network.

On the other hand, FDLR will take advantage of any given opportunity for its survival, to protect its criminals at any cost (rapes, killings, terror, etc.). Mushikiwabo advice your people to focus beyond grudges, beyond hatred, beyond revenge. The only way to do that is to get rid of FDLR; I believe this can be achieved if we change our attitude, knowing that there is neither man nor government which is perfect under the sun and there has been none!


Again, I don’t think if Kikwete remarks deserved this reaction of Mushikiwabo: “There are many spokespeople for the FDLR. Some are ideologically aligned to the FDLR. We stopped the Genocide but we didn’t stop the ideology” after all that Tazania has been to Rwandans! Unless FDLR is dissolved, psychological tremor will torture many Rwandans generation after another. That is why Rwandans need an objective road map like the one proposed my Dr. Kikwete for lasting peace in the region.
 
i am not sure if you are a real tanzanian!

Mkuu,

Mimi ni mtanzania, hata usipotaka kuamini. Sihitaji kukutajia jina langu, lakini wazazi wangu walikuwa waasisi wa chama cha TANU, nami ni mmojawapo wa watanzania tuliobahatika kuwa wanachama wa kwanza kabisa wa CCM. Kadi yangu ya CCM niliipata mwezi Februari 1977, mara tu baada ya CCM kuzaliwa pale Zanzibar 5.2.1977. Nimekulia Dar es Salaam na kusoma shule mbalimbali za mjini hapo na kumalzia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka mingi iliyopita. Baba yangu alikuwa kwenye Baraza la Mawaziri la kwanza kabisa Tanganyika huru, na baadaye kwenye baraza la mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mara baada ya Muungano.

Hulazimiki kukubaliana na mawazo yangu, ndiyo maana ya demokrasia. Niliyoyasema humu jamvini ni mtazamo wangu mimi binafsi. Tuko zaidi ya watanzania milioni 44, itakuwa ni uongo mkubwa kama wote tutakubaliana kila neno, tutakuwa si binadamu wenye fikira na utashi. Ukweli kama niuonavyo mimi si lazima uwe ukweli kama uuonavyo wewe. Kumbuka hata Galileo aliyeishi zamani aliuawa baada ya kusema dunia ni duara! Huo ulikuwa mtazamo wake, lakini kuna waliombeza wakati ule!

Ninarudia mtazamo wangu ambao nina kila haki ya kuusema hadharani hapa jamvini na sehemu zingine. Ombi langu kwako ni moja tu, usinitusi kwa kuniita mimi si mtanzania!
 
should force kagame to sleep and that wii ll be an ultimate solution. second, remove that useless president kabila from power. M7 with him time will tell, period.
 
Kwan kikwete kuwa Rais ndo anajua kuliko watu wote au?? Acha udomokaya
 
Ukweli kabisa Mkuu yaani ukikaa nao utawajua tu kibaya zaidi wanapenda kutumia toilet paper kuliko maji na poda kwa sana. Hata humu wanaochangia post hupati shida kuwajua kama huyo shapu kama kweli ni mtanzania ni mtanzania wa tajinisi.

Halafu wengi wanaoleta hizi choko wanaojiita ni Wanyarwanda walioguswa ni wale waliotokea Uganda na Burundi ambao kiasili wana majivuno, kujisikia na kujiona wao ndio bora. Sidhani kama Wale waliolelewa Tanzania wanajua amani ni nini wanafurahia haya maupuuzi. Angalia kwanza hilo gazeti la newtimes ambalo ndio liko mstari wa mbele kuandika sijui Kiwete aombe radhi na mengineyo ni gazeti la chama au niseme la serikali wewe unafikiri watasema nini zaidi ya kujikosha.

Waziri wao wa Mambo ya Nje kakomaa uso kwa kushupaza shingo kusema uongo kila siku. Yaani yule mama huwa simwelewi sijui ndio kulinda kitumbua kisiingie mchanga yaani huwa hawezi kabisa kukubaliana na jambo hata kama liko wazi maana anajua siku akienda kinyume na wakubwa wake wanavyotaka tayari utasikia reshuffle imepita.

Sasa kwa hali hiyo unafikiri beaut ataipata wakati halali kwa amani anawaza aseme nini kila kukicha.

Ukweli hii nyumba ya jirani ijitafakari kuwa na wao ni binadamu kama wengine. Kibaya zaidi ile chuki ya ndani ya mioyo yao huwa haiwaishi hata kama wanacheka na kujazana makanisani kusali ni kinafiki zaidi. Mfano ndo huu tunauona yaani hapa ndio tunaiona rangi yao halisi.

Tusubirie tu utaona watakavyoanza kuwanyanyasa Wabongo wanaoishi au kwenda nchini kwao. HII NYUMBA YA JIRANI SIO SALAMA KABISA. Ajabu ni kwamba huwa wanasema kwao ni kwao na bado wanataka na kwa wengine kuwe kwao hivi hawaoni aibu. Sasa hivi kuna wengine wanasema eti walifukuzwa Ngara. si unaona kuwa walitaka waendelee kukaa ili wapafanye kwao wakati kwao amani ilisharudia. Waliitaka watimize ule msemo wa kujitanua ndio maana hawafurahii Congo ikipata amani ndoto yao ya kujitanua itazimika.
 
Hivi si tunaweza sisi kujiondoa kwenye EAC? Au, je inawezekana kuchagua nchi gani ziingie EAC? Mwenyewe sikupenda kabisa kuona hizi nchi, Uganda na Rwanda (chini ya uongozi wa watutsi) kuingizwa kwenye hii jumuia! It is true, watutsi wanamajigambo sana; sijui wanajiona wao ni kina nani! ujinga huo sijui wanaupata wapi!
 
Mimi nadhani Mheshimiwa Rais JM Kikwete asirudi nyumba katika hili! If possible, tutafute international support kuhakikisha kunakuwa na amani huko Mashariki ya Congo na ku-paralize kabisa military "strength" ya watutsi! Pia kuhakikisha kuwa watutsi wote waliopo hapa nchini hasa mikoa ya karagwe na kigoma wanarudishwa walikotoka. Hawa watu hawajuagi amani hata siku moja; ni watu waliojaa visasi na upendo wa unafiki! Mimi nilifikia hata kuwaza kutupa zile kanda za "Kwetu Pazuri", MUNGU anisamehe kwa hili kama nitakuwa nimesema vibaya! Sioni sababu ya kuendelea kuwalea hapa nchini kwetu wakati wao wana agenda zao zingine!
 
What would be the end game of negotiations between Kagame and the Interahamwe masalia? Did Kikwete think this through or he is just saying so he may look like an international statesman? Should Museveni also negotiate with Kony? For what purpose?
The ultimate goal here is peace, not to engage in endless war; but because you tutsi your aim is known in the great lakes region, you will always like to fight; you love seeing bloodshed all the time! By the way, France once said Kagame is responsible for igniting the genocide and it is a fact that, you tutsi also killed a lot of hutus; were they not human beings? the problem is that, you think you are better than any other race on the earth! Surely, GOD will revenge you of your pride!
 
Nasikia mwakilishi wao Burundi naye kakimbia, hivi kwanini hawajiulizi kwani nini wenzao walioanza nao safari wanawakimbia kabla ya kufika mwisho wa safari?
 

Hapa ndo sielewi kabisa. You either fight them or join them. These guys are causing trouble in DRC, DRC people are peace-less and Rwandans are at peace, and you keep saying never negotiate with genociders . If Kagame doesn't want to negotiate with what he calls genociders ( I suppose he is not 🙂) he should fight them and end this instability, now its almost two decades after the genocide; still fighting them??? Even Afghanistan is now negotiating with Taliban anyway.
 
Wewe mtutsi hujui ulisemalo; shida yenu u think you are always right and everybody else is wrong! Nyie watutsi ndio mliosababisha genocide kwa kuvamia Rwanda mkitokea Uganda kwa kushirikiana na watutsi wengine kutoka Burundi na kwingineko! Nyie mlikuwa wavamizi kwani kiongozi wenu Fredy Rwigyema (RIP) na Kagame walikua na passport za Uganda! Na kagame kwa sababu ya kupenda madaraka alifanya mbinu ili Fredy Rwigyema (wakati huo Kagame alikuwa USA akisoma kwa ufadhili wa nchi yake Uganda). Na kauli yako ya kusema muendelee kuwamaliza hao FDRL inaonyesha the true colour of you, tutsi, the killers! blood suckers! so mnataka muwamalize wahutu wote ili muishi wenyewe kwenye hii dunia? that will never happen as long as the LORD GOD of Israel lives! your expansionism theory will never be accomplished! U feel to be so special that all other human kinds on earth but that is futile! mnajilisha upepo!
 
kaa kimya kama hujui vitu..mbona hawaambii marekani wakae meza moja na al queda....mnakuwa na rais anaropoka ropoka afu mnatetea mautumbo hapa
Hivi wewe una akili kweli? Unalinganisha vitu viwili ambavyo havilinganiki...al qaeda na fdrl! Ni Rais wetu lazima tumtetee; wewe kwanini umtetee kagame? nyie endeleeni kuua watu wasio na hatia huko mashariki ya Congo lakini HUKUMU YA MUNGU itawashukia kwa wakati wake mwenyewe!
 
Issue linked to genocide waliyoisababisha wenyewe watutsi! kwani hakuna wahutu mliowaua, tena wengi tu! na hamtaki kukaa kuongea nao kwasababu nia yenu ni kutawala rwanda. Mbona huko Burundi mliwaua wahutu kinyama sana? Mlimuua Ndadaye kinyama sana (kweli nyie roho zenu si za kibinadamu hata kidogo)! Au wao wahutu mliowaua walistahili kufa na watutsi ndo mwastahili kuishi? msidhani kila mtu ni mjinga hajui jinsi nyie mlivyo! Genocide mshaifanya ndio selling flag yenu allover the world! Mngebaki huko Uganda, na msingewaua wale ma Rais wawili (kama sikosei) haya yote yasingetokea!
 
Unachekesha; hela za EPA zinawahusu nini nyie watutsi? alafu swala la hela za EPA linaingiaje hapa? kawaida yenu kupenda kujitetea bila kuwa na grounds za kujitetea! sasa wewe unataka washikishwe adabu kivipi? watutsi waliuliwa ni kweli lakin pia na wahutu wengi waliuliwa na watutsi, na ndio mnachoendeleza huko DRC! sasa mnadhani mtaendelea hivyo mpaka lini? hakuna binadamu atakayeishi hapa duniani milele; wenzetu hao (watutsi na wahutu) walikufa kwa njia hiyo ya genocide, imeshatokea, sasa tukisema nyie watutsi muendelee kuwaua hao wahutu huko DRC hao wenzenu waliokufa ndio watafufuka? au mnachotaka ni kuwauwa wahutu wote mbakie wenyewe huko rwanda! GOD is in control if you choose peace!
 
Naanza kupata shaka huenda hata vurugu za Mtwara wako behind maana wenye uraia wa tajinisi mpanda ni wengi ukizingatia itikadi yao ya kupora kwa jirani. We chunguza wote waliopewa uraia wa tajinisi wako Rwanda na huku wanatumia pasi zetu. mfano Prof. Silas ambae hivi sasa ni Waziri wa miundombinu sijui. We watafute wote walio na uraia wa tajinisi na wenye pasi za Bongo ujue wako wapi hivi sasa hapo ndio utakonnect dot. Si bure utagundua wenye uzalendo na Watanzania ni wachache sana the rest mamluki.
 
So now I am a Tutsi, eeh? And how can France be credible in the Rwandan genocide issue when they are the ones who supported the murderous regime of the interahamwe? And for your information, Julius Nyerere refused to negotiate with Idi Amin and today there is peace in Uganda. Got that?
 

Pagumu kweli hapo, hao wanyarwanda wanalalamika lakini njia zote walizotumia kuwa hunt FDLR hajifanikiwa kwamiaka 20 na matokeo yake ni kwamba wa congo wanauwa na kubakwa kila kukicha...sasa kwa nini wasijaribu amani, au wanapiga kelele kwa sababu moto upo kwa wa congo na sio nchini kwao....walitaka Kikwete asemeje sasa..."endeleeni kupigana mpaka wa mwisho kufa afe"???
 
The way you argue you sound a tutsi! am sorry if you are not. And, am still doubt of your ability to compare incidences, ...Idi Amini vs Tanzania, and FDRL vs tutsi! How do u compare these two?
 

you have a point mheshimiwa Jasusi, lakini mfano uliotoa sio ...Tanzania haiku spend miaka 20 Uganda kupigana vita....wala hakukuwa na genocide ya watanzania against waganda. the situation in congo is just too much and the genocide issue just complicates everything even more. kuna watu wazima Congo ambao hawajawahi kuona amani tangu wazaliwe... amani kwa ncha ya upanga na risasi haijapatikana kwa miaka 20, kuna ubaya gani kuangalia uwezekano wa kutumia na njia zingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…