pumba tupu, ameshindwa kuzuia hisia zake. kwa hyo angekojolea m2 mzima ndo hasira zao dhidi ya makanisa zingekuwa justified? mambo ya kesi ya nyani kwa ngedere hayo.
Kitabu kilichokojolewa ni cha nani? wahuni au waislamu?. Waliomfuata mtoto kituo cha Police ni wahuni au waislamu?*Mwongozo*
Ni wahuni waliochoma makanisa au waislam??
Mtoto hana kesi ya kujibu.. alikuwa anafanya risechi kutokana na kushawishiwa na mwenzie. Wakimpeleka mahakamani patachimbika.. bora wamuachie huru
maandiko yanasema mungu amewanyima waislam hekima na busara!! Simple tumechomewa makanisa je, umemsikia mkiristo akiandamana?? Na kwambia ukweli hata waislamu wakikojolea biblia tena hadharani na kutukana na jina la yesu hutasikia mkiristo akiandamana ama kuchoma msikiti, maana mungu wetu wa kweli tunayemuamini anaweza kujitetea mwenyewe, maana tunajua tunamuamini mungu wa kweli. Unapolazimisha watu waamini unachokiamini,tena na kuwaua ina maana huna huakika na unachokiamini.
Huyo dogo aliyekojolea qur an aliitoa wapi?
Mbona mnakuwa wapofu kiasi hicho?
Kama mtoto aliyekojolea kurana ana makosa,
Je huyo aliyempa aikojolee kwa mabishano ya kugeuka chizi au nyoka yeye hana makosa?
Ndivyo alivyofundishwa kuitumia quran?
Dont be that low.
inaonekana polisi akiua raia si hoja bali raia akiua polisi hoja, nguluwe kupigwa mchale ushujaa,ila nguruwe kuua mtu story, imechomwa quran mwanza kimyaa,imetumbukizwa chooni muleba kimyaa,imetumbukizwa chooni bagamoyo kimya,kauwawa muislamu KAKOLA na wapendekost kimyaa, cd imetoka kakola ya kukashfu uislamu kimyaa, kijana wa miaka 15 wa form two kakojolea QURAN, kaonekana ni mtoto, waislamu kuchoma kanisa hoja, haya acha tusikie na tusubiri.
Hueleweki.[/KWELI MKUU HAJAELEWEKA KABISA AU ANATAKA KUUZA JINA