ha ha ha ha ha ha hamkuu Malila ..... nenda kapige kazi .... mimi nimekuruhusu
<br />Nilipita ktk bank moja mjini Dar na nimemwona graduate wa SUA akitoa huduma kinyume na masomo yake ya kilimo. Mheshimiwa Rais naomba kwa huruma yako uniuzie mimi lile shamba la mifugo la Kitulo Makete ili niweze kuutumia ujuzi wangu wa mifugo pale. Ukinipa shamba lile, naamini mimi na vijana wenzangu tutafanya yafuatayo. Moja, ni lazima tutajenga kiwanda cha kusindika maziwa pale, vijana wa SUA watapata ajira palem vijana wa food science watapata cha kufanya pale kiwandani kwetu. Shamba lile lina umeme wa grid na ng`ombe wachache wapo.<br />
<br />
Mheshimiwa Rais, ukitupa sisi vijana wako dhamana hii hatutakuangusha, najua mimi na wenzangu hatuwezi kupambana ktk njia za kisheria ili kulipata shamba hili kwa sababu ya kitu kidogo, lakini sisi ndio watalaamu wako, je unataka twende Botswana, hapana. Nimeona nikuombe badala ya kukaa kijiweni na kulalamika kana kwamba nimeomba nikanyimwa.Naamini kwa huruma yako utatusikiliza.
mkuu pole sana hii ndo TANZANIA, NYINGINE PHOTOCOPY. HILI SHAMBA LITAKUWA SI LA PRINCE KWELI?
nAKUHESHIMU SANA MKUU MALILA LAKINI KWA HUYU JAMAA ATAKUAMBIA HUNA MTAJI NA TUTAWAPA WAZUNGU NA VIFAA WANAVYO HALAFU BAADAYE WANABADILISHA MATUMIZI KAMA WALIVYOFANYA KAPUNGA EETI WANAJALIBISHA KULIMA SHAYILI (NGANO)!
mkuu Malila ..... nenda kapige kazi .... mimi nimekuruhusu
riz1 kakuwahi....pole..
Najua watu wa Intelejensia kila kukicha wapo humu JF.na WaPAMBE wa Mh.Raisi Dokta Jakaya kiKwete kila siku wanapitia JF,please chonde chonde wakilisha kilio cha Malila kwa Dokta JK, ili Vijana wa SUA wapate sehemu ya kazi ya ukweli na siyo kuwa makarani na afisa mikopo benki.
USA na Nchi za uchumi Juu ,huwa wanazingatia sana swala la food Security.hivyo basi nasi tuliomkiani mwa uchumi wa Africa litakuwa jambo la busara kwa wazee wa Intelegensia kuangialia kituo hiki kwa mtazamo wa kisecurity security zaidi.na kuweza kujenga hoja kwa mkulu kuwa kuna umuhimu wa kuendeleza vituo vyetu vya Kilimo.
Malila Ondoa Shaka swala lako litakuwa limeshaanza kufanyiwa kazi.i hope isije kuwa Kauli Mbiu ya CCJ 2015 🙂
Baada ya kufuatilia sana jinsi watu wanavyonunua mashirika ya umma,nikagundua bora nianzishe shamba langu mwenyewe la mifugo. Kwa sababu ardhi ya kuanzishia ipo na si ya kununua. Ng`ombe wa kuanzia wapo, watalaamu wapo. Angalia hoja hizi hapa chini;
Posho ya hao jamaa ili wanisikilize inatosha kununua ndama kadhaa waliopandishwa,
Posho yangu na nauli ya kufuatilia mambo haya wizarani inatosha kununua dawa za mifugo karibu mwaka mzima,
Kwa hiyo bora nianze, naamini watalaam mtaniunga mkono ktk hili.
Malila Mkuu nakukumbushia tu! Safari ya mabana ikiwa tayari usisahamu kunitumia email ili tuingie tuanze wote from scratch.
Vipi mkuu alishakuuzia shamba Kikwete?