jk anajaribu kuficha udhaifu wake, kwani waliomkabidhi hiyo list yeye hawakumuona nzowa?? nzowa ni ofisa ktk taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya unapomkabidhi jukumu la kupambana na mawaziri na wabunge wauza unga unamaanisha nini?? yaani wewe ndio bosi wao huchukui hatua ila unamkabidhi watu wenye limited power kufanya hivyo. This is called political scapegoating.
usanii ni kipaji chake.
. 
Akizungumza na gazeti hili kupitia kwa Msemaji wake, Salvatory Rweyemamu, Rais Kikwete alisema orodha ambayo alisema anayo alikwishaikabidhi kwa vyombo husika kwa ajili ya hatua zaidi.

Rais atembee nayo mfukoni ya nini?
![]()
Chanzo.MTANZANIA Jumapili
Mkuu siyo mzima wewe madawa yanauzwa sana club bilcanas nayo ya ccm?Huo ndio uhai wa chama tawala mnatarajia watajiangamiza wenyewe. Thubutu.
Rais siyo polisi wala siyo mahakama ulitaka afanye nini au awaadhibu kwa sheria ipi tufikili kwanza.
Asante mkuu nimejifunza "political scapegoating"jk anajaribu kuficha udhaifu wake, kwani waliomkabidhi hiyo list yeye hawakumuona nzowa?? nzowa ni ofisa ktk taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya unapomkabidhi jukumu la kupambana na mawaziri na wabunge wauza unga unamaanisha nini?? yaani wewe ndio bosi wao huchukui hatua ila unamkabidhi watu wenye limited power kufanya hivyo. This is called political scapegoating.