Kikwete na semina elekezi kwa Mawaziri - Dodoma 2011

viongozi wa kuu wa serikali mnatakiwa kuwa mfano kwa watumishi mnao waongozi, kikwete acha utani na sisi watanzania wewe mwenyewe ni fisadi sasa unataka hawa wawemafisadi kama wewe
 
kikwete leo anaongelea uandilifu kwani yeye ni mwadilifu? acha utani na tanzania yetu mwezi mkubwa wewe
 
eti anadai anategeneza misingi ya leo kwaajili ya 2025 huu ni uongo wa hali ya juuuu, nchi ishakushinda semina haifai hata kuangalia inaboa wala haifai nashangaa sana jk na serikali yake kuendelea kuwa madarakani mpaka sasa
 
Kikwete amemaliza hotuba yake na amefungua rasmi semina hiyo
Makofi

Na mimi nawashukuru

Kwa heri

Mathias Byabato
Bukoba
 
waandishi wa habari wanaombwa kukutana na waziri wa fedha mstafa mkulo, kazi kweli kweli waandishi wasiwadanganye hawo kuweni makini na wao
 
hivi pius msekwa ameingia kama nani kwenye hiyo seminar.!? Naona amekaa karibu na maafisa wa usalama...
 
kikwete amemaliza hotuba yake na amefungua rasmi semina hiyo
makofi

na mimi nawashukuru

kwa heri

mathias byabato
bukoba
mkuu tunashukuru sana but huu upuuzi wa huyu jamaa sijui utakwisha lini watu tunataka vitendo si maneno anazidi kujidhalilisha sana!
 
Kikwete haelewe nchi hii sasa imechoka kusikia maneno bali tunataka uajibikaji?Viongozi wetu ni walewale kwa asilimia kubwa na semina elekezi wamekuwa wakizipata mara kwa mara sasa sijui kama hii ni mpya,Kikwete tunataka kusikia unachukua hatua gani wewe na mawaziri wako kuinusuru nchi kutoka katika hali ngumu ya uchumi na mfumuko wa bei kila kunapokucha.
si hivyo tu tena uchukue hatua kwa watu wote ukiwemo na wewe kutufikisha hapa.
semina Elekezi hazina tija kwa Mtanzania yeyote inakupasa kuchukua hatua ya haraka kunusuru watanzania.Enough of propaganda and endless plans.
 
waandishi wa habari wanaombwa kukutana na waziri wa fedha mstafa mkulo, kazi kweli kweli waandishi wasiwadanganye hawo kuweni makini na wao

Hata wakiwata si hii hotuba ilikuwa inashushwa LIVE hapa JF
Kila kitu kimekwisha julikana
hata wakichakachua vipi tulishapata kila kitu
 
Hii naona kama inamlenga Waziri 6...manake yy ndo anatofautiana wa mawaziri wenzake mara nyingi. So kwa mwendo huu kila kitakachosemwa basi majibu...''ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI''......!!
 
Ni hatua nzuri, wakati wowote ukiona jahazi linapoteza mwelekeo nahodha una jukumu la kufanya juhudi za kulirudisha katika mstari. Thou kuna haja ya kuchukua hatua zaidi za kuwaadhibu/kuwaondoa wasiofikia viwango
 
Kikwete wakati anaingia madarakani kila kitengo kilianzisha idara ya mawasiliano na habari. Wizara na idara zikateua wakurugenzi wa habari. Alilisisitiza sana jambo hili........

Sasa sijui waliopewa vitengo ndio wadhaifu au hawajui nini majukumu yao. au nchi ina wanasiasa wengi kuliko watendaji.

But tunaweza kumalaumu JK tu lakini kuna uzembe wa watendaji wengi. na wengi wao ndo sisi.

Mfano hii ni Tovuti ya taifa Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC).

TBC hawana hata clip moja ya video au audio utadhani ni tovuti ya gazeti. Hi ni taasisi ya habari lakini bado wanafanya kazi kama mwaka 1980. kama taasisi ya habari iko hivi What should we expect from wizara
.mikoa

Tottally Unorganised and doing things unprofessonally
 
  • Thanks
Reactions: EMT
haiwezekani unakunywa kwenye baa unakunywa mpaka unapataka msaada wa kubebwa

ukiwa waziri ni kuwa kuna baadhi utavikosa
unakatisha wananchi tamaa ,kuwa kama kuwa waziri ni kama fulani,acha ubabe,unadhulumu watu

"" jangala Kiwete


Kweli jk ni ze komedi .......kwani alipowachagua hakuwapa vile vitabu vya maadili ya kiongozi wa umma......na kuna hadi tume ya maadili ya viongozi wa umma...usalama wa taifa ,pcccb etc..hao wanakuwa wapi hadi mawaziri na rais akiwamo wanakosa adabu kwa ulevi na ufuska????
WENGINE wanafikia hata kufanyiwa huduma za chap chap baa wananchi wanawaona..wanafanyiwa blow job...watu wataacha vipi kukosa imani??
 
hadi leo anavunja katiba kwa kuendelea kuwatumikisha wakuu wa wilaya na mikoa term mpya kabla ya kula kiapo cha utii na kuilinda katiba....rais akishaapishwa ni lazima atangaze mawaziri,wakuu wa mikoa na wilaya na watakula kiapo..kwa kifupi kwa saasa wakuu wa mikoa na wilaya wanafanya kazi kinyume cha katiba......na mwanasheria mkuu wa serikali yupo..anaangalia!
 
Back
Top Bottom