The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,607
- 6,071
Yaani huu upuuzi ulikuwa bado haujaisha tu, mimi najiuliza wakati Kikwete anatembelea Wizara lengo lake kuu hasa lilikuwa nini au alikuwa anaenda kuuza sura kwa wafanyakazi wa Wizara, leo hii mawaziri ambao alikutana nao wakati anatembelea Wizara zao haoa hao tena anawapeleka semina elekezi kuongea kitu gani ambacho hakuongea wakati anatembelea Wizara zao????
Naweza nika-conclude kwa kusema kuwa Kikwete amekosa cha kufanya maana muda si mrefu utaanza kusikia.......
Kikwete akutana na Wakuu wa Wilaya kwenye Semina Elekezi
Kikwete akutana na Wakuu wa Mikoa kwenye Semina Elekezi
Matumizi mabovu na mabaya ya kodi za wananchi.