Kikwete na Rais Magufuli wapanda gari moja

Kikwete na Rais Magufuli wapanda gari moja

ITIFAKI hairuhusu kabisaaa..
Mbona wakiwa mikoani mkuu wa mkoa anatoka kwenye gari lake anahamia kwenye gari la mhe rais, makamu wa rais, au mwaziri mkuu. Kama hamjui vitu kaeni kimya.
 
Kweli wabongo sijui alie tuluga nani....yani mtu unakaa kupoteza mda kuandika na kupost upuuzi.....badala ya huo mda kutumia kuchanganua ni namna gani Unaweza kufanya kujiongezea kipato ktk maendeleo yako na familia yako....badala ya kukaria hayo majungu....
 
Hivi watu wawili wakitembea kwa kuongozana wameshikana mikono inaweza kuwa gumzo!? Na je inatofauti gani kuwa ndani ya gari moja au paa moja, sioni kama hili ni tatizo, wangeweza kujifunika mwavuli mmoja, labda hoja ingekuwa wamechangia kijiko wakati wa mlo
Swali gani hili?
 
Kweli wabongo sijui alie tuluga nani....yani mtu unakaa kupoteza mda kuandika na kupost upuuzi.....badala ya huo mda kutumia kuchanganua ni namna gani Unaweza kufanya kujiongezea kipato ktk maendeleo yako na familia yako....badala ya kukaria hayo majungu....
Yaan hata Mimi nimeshangaa sana hadi mtu unapata muda wa kuchangia post ya kipuuzi... Badala ya huo muda kutumia kuchanganua ni namna gani unaweza kufanya kujiongezea kipato ktk maendeleo yako na familia yako......
 
JK kaombwa akatoe somo la uongozi n jinsi gn ya kutoa ajira n mwisho kabisa ampige msasa wa kimombo maana juzi aliwadharirisha watanzania kwa kimombo cha hovyo kbs
 
Itifaki inaruhusu kwani Kikwete alikuwa kwenye level hiyo ila Rais aliyopo madarakani ndio kamkaribisha kikwete
 
Watu hawana ajira kwa hio kila anachoona lazima aposti humu,kuna uzi za ajabu ajabu nyingi sana,wengine wanaleta habari za mademu zao,ni vichekesho
 
Jk anapenda sana swagga...ebu atulie tumechoka maigizo yake
 
Kweli wabongo sijui alie tuluga nani....yani mtu unakaa kupoteza mda kuandika na kupost upuuzi.....badala ya huo mda kutumia kuchanganua ni namna gani Unaweza kufanya kujiongezea kipato ktk maendeleo yako na familia yako....badala ya kukaria hayo majungu....
Hujaitwa na mtu yeyote kusoma au kuchangia Uzi huu bali umejipendekeza mwenyewe. Ingefaa muda huo ulioutumia kupost hapa ukayafanya hayo unayowaambia watu wakayafanye.
Poor John Ndale, think twice before you post
 
Baada ya kuisha ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Samwel Sitta Rais mstaafu Jakaya Kikwete na Rais Magufuli wapanda gari pamoja na kuondoka.

Itifaki inaruhusu?
wala usiumize kichwa ndugu - hao wote ni wale wale!
 
Yaan hata Mimi nimeshangaa sana hadi mtu unapata muda wa kuchangia post ya kipuuzi... Badala ya huo muda kutumia kuchanganua ni namna gani unaweza kufanya kujiongezea kipato ktk maendeleo yako na familia yako......
Wewe unayeyaishi hayo unayoyaandika mbona hatukuoni kwenye Forbes kuwa na wewe ni miongoni mwa watu wenye fedha zaidi ya kutuonyesha your naked mind.
" If you think you are wise enough, think wisely
 
Back
Top Bottom