Kikwete na Rais Magufuli wapanda gari moja

Kikwete na Rais Magufuli wapanda gari moja

Hivi watu wawili wakitembea kwa kuongozana wameshikana mikono inaweza kuwa gumzo!? Na je inatofauti gani kuwa ndani ya gari moja au paa moja, sioni kama hili ni tatizo, wangeweza kujifunika mwavuli mmoja, labda hoja ingekuwa wamechangia kijiko wakati wa mlo
Mleta mada anauliza kama itifaki inaruhusu, siyo kujibu kwa mtazamo wako. Tena itifaki ya nchi yetu usifananishe na wenzetu
 
Kingledha ni Wito Kama hukuzaliwa nao ndo basi tena. ' Birds of the same ...'
Actually nikosea kuweka a kati ya of na feather.
Kwa kingereza sanifu, unawseza tumia either 'Birds of the same feather flock together' au 'Birds of a feather flock together'
 
Mleta mada anauliza kama itifaki inaruhusu, siyo kujibu kwa mtazamo wako. Tena itifaki ya nchi yetu usifananishe na wenzetu

Huu ni mtazamo nami sijasema ni itifaki,
 
Huu ni mtazamo nami sijasema ni itifaki,
basi wewe, mimi na mleta mada tuendelee kufatilia uzi huu tujue kama itifaki inaruhusu au la. si unajua rais hapakizi hata mke wake? basi ndo mambo ya itifaki hayo
 
Sasa tukuamini vipi ata kapicha hujaweka
 
Ni hivi, rais anayo mamlaka ya kuondoka na yeyote kwenye gari yake, lakini taarifa wanakuwa nazo wazee wale, na hii mara nyingi kama rais anataka kuzungumza kitu na huyo mtu kwa faragha kubwa. Nitakuleteeni mifano hai baade, niko bize kidogo.
BAADAE ISHAFIKA LETE MAJIBU/TAARIFA
 
Simba kula mtu siyo habari, mtu kula simba ndiyo habari.
 
Ukongwe kwenye game ni dawa. Utakuta JPM anataka kuteta na JK kwa ajili ya mambo ya nchi...
 
basi wewe, mimi na mleta mada tuendelee kufatilia uzi huu tujue kama itifaki inaruhusu au la. si unajua rais hapakizi hata mke wake? basi ndo mambo ya itifaki hayo

Mvunja nchi ni mwananchi na mvunja protokali ni mwanaprotokali
 
Mambo mengine hayana haya mashiko marais kupanda gari moja ni kosa!
 
Actually nikosea kuweka a kati ya of na feather.
Kwa kingereza sanifu, unawseza tumia either 'Birds of the same feather flock together' au 'Birds of a feather flock together'
Thread haihusu ujuaji wa lugha ya malkia. Lakini kwa vile hili limejitokeza na pia kwa nia njema tu napenda kuchangia kwa kusema kwamba usahihi kabisa ni "Birds of a feather flock together" na siyo "birds of the same feather.....". Hiyo " of a feather" maana yake ni " of the same type". Ni sawa na kusema "Birds of the same type flock together".

Na kwa nyongeza zaidi tujiulize hata kama ingekuwa ni kwa kuweka tafsiri ya moja kwa moja kwa kiswahili kumaanisha ndege wenye manyoya ya aina moja tungesema " birds of the same feather" au "birds of the same TYPE of feather"? Kwa hapo jibu lingekuwa ..." of the same type of feather.

Mwisho tujiulize kama inawezekana "birds of the " same feather" wakawepo kweli duniani na pia kama wataweza kuruka?Aaaah aaah. Haiwezekani. Kama wapo basi kutakuwa na "children of " THE SAME EYE"... Nadhani mpo mtakaokuwa mmenielewa.
 
Inaruhusiwa,kwenye msiba wa aliekua Rais wa Israel Obama alimuita Clinton waondoke wote.
 
Mbona obama alivyowasili kenya alimruhusu dada yake aungie kwenye Cadillac 1?
Kwahiyo kila anachofanya Obama kinakuwa sheria??

basi mwambie anko Magu atumie mkono wa kushoto kuandika kama Obama.
 
Back
Top Bottom