I salute your comment sirThread haihusu ujuaji wa lugha ya malkia. Lakini kwa vile hili limejitokeza na pia kwa nia njema tu napenda kuchangia kwa kusema kwamba usahihi kabisa ni "Birds of a feather flock together" na siyo "birds of the same feather.....". Hiyo " of a feather" maana yake ni " of the same type". Ni sawa na kusema "Birds of the same type flock together".
Na kwa nyongeza zaidi tujiulize hata kama ingekuwa ni kwa kuweka tafsiri ya moja kwa moja kwa kiswahili kumaanisha ndege wenye manyoya ya aina moja tungesema " birds of the same feather" au "birds of the same TYPE of feather"? Kwa hapo jibu lingekuwa ..." of the same type of feather.
Mwisho tujiulize kama inawezekana "birds of the " same feather" wakawepo kweli duniani na pia kama wataweza kuruka?Aaaah aaah. Haiwezekani. Kama wapo basi kutakuwa na "children of " THE SAME EYE"... Nadhani mpo mtakaokuwa mmenielewa.
Nimekupenda bikira Latifa.Mbona obama alivyowasili kenya alimruhusu dada yake aungie kwenye Cadillac 1?
Umekurupuka kunijibu hebu rudi tena kasome post ya niliemquote utapata jibuWewe unayeyaishi hayo unayoyaandika mbona hatukuoni kwenye Forbes kuwa na wewe ni miongoni mwa watu wenye fedha zaidi ya kutuonyesha your naked mind.
" If you think you are wise enough, think wisely
OK.. Tumejua tusiyoyajuaNi hivi, rais anayo mamlaka ya kuondoka na yeyote kwenye gari yake, lakini taarifa wanakuwa nazo wazee wale, na hii mara nyingi kama rais anataka kuzungumza kitu na huyo mtu kwa faragha kubwa. Nitakuleteeni mifano hai baade, niko bize kidogo.
Mnanakili mataifaakuvwa lkn mambo mengine wananakili wapi hasa ubadhirifu mbona hawasemi km Clinton au Bush?Kwani Obama alifanya nini kwa rais mstaaf clinton walipo toka kwenye mazishi israel????
'BIRDS OF THE FEATHER FLOCK TOGETHER'
Mbona unakwenda off point?Mnanakili mataifaakuvwa lkn mambo mengine wananakili wapi hasa ubadhirifu mbona hawasemi km Clinton au Bush?
mind your business.Kweli wabongo sijui alie tuluga nani....yani mtu unakaa kupoteza mda kuandika na kupost upuuzi.....badala ya huo mda kutumia kuchanganua ni namna gani Unaweza kufanya kujiongezea kipato ktk maendeleo yako na familia yako....badala ya kukaria hayo majungu....