Kikwete na Makamba wakijiuzulu na Slaa na Mbowe wakajiuzulu uongozi; Chama gani kitakufa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete na Makamba wakijiuzulu na Slaa na Mbowe wakajiuzulu uongozi; Chama gani kitakufa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zhu, Mar 7, 2011.

 1. Z

  Zhu Senior Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Licha ya kuwa heading ya kiingereza imefutwa lakini ni vizuri tuone hawa wamiliki wa vyama kama wakijitoa itakuwaje.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mambo ya ...Sungura akasema!
  ...Nyani akalima shamba!
  TEMBO akaenda kupeleka mahari kwa mbweha!
   
 3. Saeedgenius

  Saeedgenius Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Did U mean, Kikwete, Makamba, Slaa na Mbowe wakijiuzulu? kwani kabla yao hivyo vyama havikuwepo?
   
 4. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  Kama mtu huna burning issue sio lazima uanzishe thread.Mod please ondoa huu upupu
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Taasisi yoyote yenye uendelevu haimtegemei mtu moja - yaani fulani akiondoka iwe ndio mwisho.
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Chadema jina litafifia ila hisia na itikadi za uchadema (ukombozi) hazitakufa daima , ccm jina litapaa kwani JK+makamba ndio vikwazo namba mmoja.

  ila hii sred imekonda jaribu kuiongezea nyama inoge
   
Loading...