Nyangeta Marwa
Senior Member
- Nov 10, 2014
- 136
- 60
Baada ya kuchakachua picha za mazoezi, sasa wamechakachua picha ya maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru, Duuuh. .....Urais huu utawaua
Kuna siku kila mbuzi atakula usawa wa kamba yake na kila mtu atakula alicho panda ccm wote ni wezi na mafisadi waliyo pindukia amna aliye msafi ndani ya ccm wote wezi
[/QUOTE]Lowasa yupo mstari wa nyuma wa Kikwete hakukaa pembeni ya kikwete hebu angalieni vizuri amekaaa na mawaziri wakuu wa wastaafu wengine
![]()
Mkuu Pinda vipi kumbe kalamba Billion 5 za ESCROW.........Soon bank statement naimwaga humu (Leo saa tisa)...Baada ya kuchakachua picha za mazoezi, sasa wamechakachua picha ya maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru, Duuuh. .....Urais huu utawaua
Mkuu Pinda vipi kumbe kalamba Billion 5 za ESCROW.........Soon bank statement naimwaga humu (Leo saa tisa)...
Mkuu Pinda vipi kumbe kalamba Billion 5 za ESCROW.........Soon bank statement naimwaga humu (Leo saa tisa)...
Nafkiri ni jambo jema tukizungumzia issue ya Billion 5......Billion 5 ni sawasawa na kujenga maabara standard katika wilaya 98 out of 125Mkuu vipi hilo la kuchakachua picha
Michuzi blog peke yake ndio inamiliki kamera?
watu wa ajabu kweli kweli ina maana Lowassa kukaa karibu na Jk ni haramu?.Nimecheka kuna thread imeletwa kwaajili ya hiyo picha nikashangaa Lowassa anaweza vipi kukaa safu ya mbelee na kuwaaacha akina Pinda,Makinda na.......
Ni haramu mkuu kwani hastahili. Yeye alilazimishwa ajiuzulu kutokana na kashfa ya ufisadi. Sasa atakaaje karibu na Rais wetu? Yeye ataishia kumchungulia tu kwa mbaliwatu wa ajabu kweli kweli ina maana Lowassa kukaa karibu na Jk ni haramu?.