Lowasa ana ugonjwa wa kutetemeka kama kameza mjusi..naona aachane na mambo ya uraisi..watanzania hatuwezi kumgharamia matibabu atakapokuwa raisi....kwani kuna kazi ya kuondoa umaskini kwa watatnzania na siyo kuja kuangaika na mtu mmoja.
Hii picha ilipangwa na Wapambe wa Lowassa....hii ni adaa kwa umma wa watanzania na itatumiaka kwenye kampeni za 2015 ndani ya CCM.
Mkuu hii picha imepigwa lini?Kama ni ya leo Basi Rais wetu amesoma alama za Nyakati.
Afisa wa jeshi mstaafu.... anatisha...
Hauna hoja ungekuwa na hoja dhidi ya Lowassa kafulila kijana makini angesha iweka hadharani. Lowassa ni msafi Kama theluji. Aliwaonesha na kuwafundisha watanzania dhana ya uwajibikaji. Na hii ndiyo maana kubwa ya yeye kuwa kipenzi cha watanzania wengi. Kina mama na vijana! Rejea maneno ya Dr. Slaa kwenye Hansard kuhusu kujizulu kwa lowassa. Hapo ndipo utajua umakini Wa EDO.Hana nguvu zozote ni ujinga tu tena hata nyumba alizonunua UK zinaweza kurudishwa kwa walipa kodi wa Tanzania. Yeye anakamua pesa baada ya kulididimiza shirika la simu Tanzania akisaidiwa na kiranja mkuu wa wizi anayelala Magogoni.
Picha halisi hii hapa acheni kuchakachua
lowasa alikuwa viti vya nyuma akifutiwa na pius msekwa akifuatiwa na bodigadi wa rais.pale mbele ni mama salima kikwete,dr.sheini,raisi wa jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar akifuatiwa na mkuu wa majeshi ya tanganyika na zanzibar.lowassa alikuwepo hapo kama waziri mkuu msitaafu.je nyinyi mnatumiaje hii nafasi kupotosha umma?
Kwanini akamate kwa ukakamavu lengo ni kuonyesha nini?kwani siku zote anakamataje mkono wa raisi,mambo mengine mbona ya kipuuzi sasa akikamata mkono wa raisi kwa ukakamavu ndio inasaidia ama kunapunguza nini,hivi watu wakisema watu wazima mnashindwa kufikiri hata kushindwa kuandika kitu cha maana mtaona mnatukanwa? je mpo na tofauti gani na Masaburi anayesema Pinda ndie anafaa kuwa raisi bila kutupa sababu za msingi za kusema hivyo.
Jamaa kumbe ameshachukua nchi...hongera zake!
Awe na Parkinson asiwe mayo najua hakupi uzingizi. Mambo wengine tumuachie Mungu akisema Leo hii Lowassa ndiyo raisi Wa JMT hakuna wskumzuia. Picha tu zinawafanya kutoka na pofu subiri sasa atangaze nia na msisimuko utakaye ampatana na ile nia. Ndiyo utamshangaa huyu Mungu na wataule wake!
EL tyr ameshachukua nchi, anasubiria muda wa kuapishwa ufike ili aweze kuanza majukumu yake ya urais
Watanzania tumekuwa na tabia ya kuwaponda wabunge wetu kwa kuacha kujadili mambo ya msingi na badala yake kujadili mambo yasiyo na msingi kwa nchi yetu.
Kwa mfano,tumekuwa tukimponda sana Lusinde,Asumpta Mshana na wengine kwa kutojadili mambo ya msingi na si katika bunge la juzi tu,bali hata katika vikao vya siku za nyuma kabla ya Escrow scandle.
Sasa naomba niwaulize;
Hivi sisi watanzania(including myself) kupitia mitandao mbalimbali kujadili kitendo cha Lowassa na Kikwete kuonekana kukaa pamoja tuna tofauti na hawa wabunge wetu?.
Je,hatuna mambo mengine ya msingi kuyajadili katika kipindi hiki cha uchaguzi wa serikali za mitaa?
Hivi mtu kama Lowassa anatuonaje?
Binafsi, nimechangi hii mada ila nakiri ni utoto kabisa kama sio ujinga.
Picha ya kutengeneza hii lowasa hakua jukwaa kuu,pia jukwaa kuu hawawez kaa kwa kubanana pia angalia picha ilivotengenezwa el hana miguu,
Usitake kunifanya nisiamini macho yangu, siku hiyo nilimuona mwenyewe Lowassa kwa macho yangu, nikajiuliza, kuna mtu humu alianzisha thread kwamba Lowassa amelazwa nchi anayojua yeye (mleta mada), sasa hapo kwenye sherehe amefikaje? nikawa nafikiri hizo mvi ni za vice president lakini sira ya Lowassa, anyway sasa nimeproove alikuwa yeye.
Hana nguvu zozote ni ujinga tu tena hata nyumba alizonunua UK zinaweza kurudishwa kwa walipa kodi wa Tanzania. Yeye anakamua pesa baada ya kulididimiza shirika la simu Tanzania akisaidiwa na kiranja mkuu wa wizi anayelala Magogoni.
Kwa comments hizi nimegundua watanzania wengi wana matatizo ya macho.