Kikwete na Lowassa kunani tena?

Kikwete na Lowassa kunani tena?

page 14 na kuendelea lakini hakuna kilichojadiliwa chenye tija
 
Kuna wengi wanamtaka Lowasa kuwa raisi mwakani. Kiuongozi ana ujasiri wa kufanya maamuzi bila uoga. Na pia anajiamini haogopi mtu yeyote. Lakini ukweli ni kwamba Lowasa ana tabia ya ufisadi na hiyo tabia hawezi kuiacha. Kama akishika nafasi ya uraisi, basi ujue nchi itafilisika.
 
Tayari nchi imeshafilisika chini ya uongozi wa Kikwete.
 
Tulipofika kama nchi tunamuhitaji sana lowassa,huko CCM hamna mbadala
 
Binafsi kwa upande wa ccm angalau namkubali Magufuli hadi nashangaa kwanini haoneshi interest ya kugombea kiti mwakani. Lowasa ni mwizi mno
 
Kwa mtazamo wangu na jinsi pepo za siasa zinavovuma tz ni dhahiri
Kabisa kuwa jk akianza safari ya msoga baadae mwaka huu, Edo ndiye
atakayeingia ktk zile ofisi nyeti pale magogoni karibu na soko la samaki.
Hata kama jahazi la kinana litamtosa,nadhani hawa ukawa watamchukua
tu na kumpitisha haraka sana.
 
UKAWA hawawezi kufanya hilo kosa

Lowassa ni fisadi papa,kama walivyo wakimbiza urais wengi wa CCM
 
Keep On dreaming you simple minded person! Open your eyes to see he is not fit nor has the integrity to be president. Kumchagua lowassa nikama kuruka mkojo na kukanyaga mavi.
 
Upinzani ni zoazoa, we subiri muda ukifika utaona...pamoja na ufisadi wake
Watamsafisha tu.
 
kwa mtazamo wangu na jinsi pepo za siasa zinavovuma tz ni dhahiri
kabisa kuwa jk akianza safari ya msoga baadae mwaka huu, edo ndiye
atakayeingia ktk zile ofisi nyeti pale magogoni karibu na soko la samaki.
Hata kama jahazi la kinana litamtosa,nadhani hawa ukawa watamchukua
tu na kumpitisha haraka sana.
mpe baba uprof kuanzia leo akukosea kukuzaa

prof baba card

orign jf
 
Back
Top Bottom