usiseme hivyo
Mbowe anaaminika 100 percent?
Rumourmill as usual. Why should we waste time trying to discuss such a political-dead person?EL is nothing but a day dreamer who will end up being toasted by voters if CCM dares to make such sacrilegeous mistake.

Alimshinda Patric QorroSahihisho:
Dr Slaa alishinda kura za maoni ndani ya CCM mwaka 1995 huko Karatu (kwa maana ya kupata kura nyingi zaidi kuliko wagombea wengine wote), ila hakupitishwa. Akahama na kumbwaga mgombea aliyepitishwa na CCM kwenye uchaguzi wa ubunge. Toka wakati huo hii ni awamu ya nne jimbo lipo CDM.
Uongozi wa CCM wana mtindo huo wa kuengua chaguo la wanachama. Yalitokea pia mfano kwa Hussein Bashe na marehemu Phares Kabuye.
Nina wasi wasi sana na huyu zitto, inawezekana kabisa akawa anatumiwa
haya mawazo ndo hunifanya nikione ccm kuwa chama cha kisenge sana.
Kama kuna mtu anaweza akaisaliti CDM ni Zitto.Ana mtandao wa vijana fulani kanda ya ziwa akiwemo diwani wa Igoma na kajamaa fulani hivi kanadai kalikuwa ka katibu ka Chacha Wangwe,ndio wanaoneza kashfa za Dr. pamoja na Mbowe.Kuna siku moja walinikuta hotel fulani hata hawanijui,wakaeneza propaganda zao,sasa ilipofika kipindi cha maswali na majibu, nililiwapa ukweli baadae wakajifanya kuniomba namba ya simu,hawakunipigia na hicho kiwanja hawajakanyaga tena.
maskini wazanzibari urais wa jamhuri ndio basi tena?
Rumourmill as usual. Why should we waste time trying to discuss such a political-dead person?EL is nothing but a day dreamer who will end up being toasted by voters if CCM dares to make such sacrilegeous mistake.
Lowasa ni heavy weight, wewe mchukue Sitta,Mwakyembe,Anne Kilango, Nape nk waweke upande mmoja upande mwengine akikaa Lowasa uzani unaelemea kwa Lowasa.