Kimsingi Mh Rais Kikwete hakujiita Dr kihihivi bali ni udaktari wa heshima( Honorary doctorate) aliotunukiwa ktk chuo kikuu cha Nairobi baada ya kazi kubwa ya upatanishi wa mgogoro ule kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kenya wa 2007 na kufanikiwa kuwapatanisha mahasimu Raila Odinga na Kibaki dakika za mwisho.. Lazima ukumbuke kwamba mgogoro huu uliwashinda kabisa wapatanishi Koffi Annan, Benjamin Mkapa, Graca Machel,Mwenyekiti wa AU wakati ule Rais John Kuffor wa Ghana na Mwenyekiti wa EAC wakati huo Rais Museven wa Uganda..Kutokana na juhudi kubwa za Rais Kikwete maafikiano yakapatikana na ndipo jopo la maprofesa Nairobi University lilipomtunuku Udktari huo wa heshima..Pia kihistoria inaonesha kuwa Kikwete ndo Rais wa kwanza barani Africa kupewa udaktari wa heshima na chuo kikuu hicho cha Nairobi..Watanzania tuache upotoshaji juu ya udaktari wa mh kikwete, tuwe wakweli.Huwa namshangaa yeye anapojiita eti Dr. Dokta gani hawezi hata kuongea!!!! Halafu udokta wenyewe wa kupewa chuo cha kata UDOM, ptuuuuuu!!!
Teh teh teh teh, yaani we NATA umenichekesha sana,yyt mwenye maudhi atembeleejf maudhi yote kwisha,,teh teh teh teh teh teh tehNa yeye akistafu hatutamwita kaka wa Taifa, shauri yake!
Kimsingi Mh Rais Kikwete hakujiita Dr kihihivi bali ni udaktari wa heshima( Honorary doctorate) aliotunukiwa ktk chuo kikuu cha Nairobi baada ya kazi kubwa ya upatanishi wa mgogoro ule kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kenya wa 2007 na kufanikiwa kuwapatanisha mahasimu Raila Odinga na Kibaki dakika za mwisho.. Lazima ukumbuke kwamba mgogoro huu uliwashinda kabisa wapatanishi Koffi Annan, Benjamin Mkapa, Graca Machel,Mwenyekiti wa AU wakati ule Rais John Kuffor wa Ghana na Mwenyekiti wa EAC wakati huo Rais Museven wa Uganda..Kutokana na juhudi kubwa za Rais Kikwete maafikiano yakapatikana na ndipo jopo la maprofesa Nairobi University lilipomtunuku Udktari huo wa heshima..Pia kihistoria inaonesha kuwa Kikwete ndo Rais wa kwanza barani Africa kupewa udaktari wa heshima na chuo kikuu hicho cha Nairobi..Watanzania tuache upotoshaji juu ya udaktari wa mh kikwete, tuwe wakweli.
Ulidhani Kikwete ampende Nyerere wakati anajua fika angekuwa hai hata huu urais angeusikia maana alimjua alivyo wa hovyo kuliko mtu mwingine? Analipiza kisasi kichini chini. Mara hii mnasahau jinsi Kikwete alivyo bingwa wa kulipiza visasi!
Huwa namshangaa yeye anapojiita eti Dr. Dokta gani hawezi hata kuongea!!!! Halafu udokta wenyewe wa kupewa chuo cha kata UDOM, ptuuuuuu!!!
"Wote tunamwita," wote wewe na nani?Wote tunamwita baba wa taifa
mkuu si uwataje au mtaje huyo mwanzilishi wa TAA na ss tumjue acha kuuma uma maneno
Kiongozi wa kwanza wa nchi yeyote huitwa founding father. Marekani: George Washington. Singapore: Lee Kuan Yew
Ghana: Kwame Nkrumah. Tanzania: Julius Nyerere. Malaysia Tunku Abdul Rahman. etc. etc.
| Country | Father of the Nation | Source |
| Cuba | Carlos Manuel de Céspedes del Castillo | Thomas, Hugh 1971. Cuba, or the pursuit of freedom. Eyre & Spottiswoode, London. Revised and abridged edition 2001, Picador, London. Chapters 16 & 17. |
| Croatia | Ante Starčević | Tanner, Marcus (2001). Croatia: A Nation Forged in War (2nd ed.). Yale University Press. p. 102. |
| Chile | Bernardo O'Higgins | Harvey, Robert (2000). Liberators: Latin America's Struggle for Independence. New York: The Overlook Press |
| India | Mahatma Gandhi | The Collected Works of Mahatma Gandhi, Government of India (CWMG), Vol I, p. 150 |
| Bolivia | Simón Bolívar | Bushnell, David. The Liberator, Simón Bolívar. New York: Alfred A. Knopf, 1970 |
| Israel | Theodor Herzl | Brenner, Michael, and Shelley Frisch. Zionism: A Brief History (2003) |
| Sierra Leone | Thomas Peters | Sanneh (2001), p. 50 |
| France | Clovis 1 | Brown, Peter (2003). The Rise of Western Christendom. Malden, MA, USA: Blackwell Publishing Ltd.. p. 137 |
| Ireland | the seven signatories of the Proclamation of the Irish Republic: Patrick Pearse, James Connolly, Éamonn Ceannt, Tom Clarke, Seán Mac Diarmada, Thomas MacDonagh, and Joseph Mary Plunkett. Robert Emmett is also considered a founding father | |
| Netherland | Prince William I of Orange (1533–1584) |
Sasa ujinga wangu hapo uko wapi ndugu yangu? Nini maana ya father of the nation? Kwa Tanzania ni nani? Kinjeketile?Unadhihirisha ujinga wako kwa kuongelea vitu ambavyo huvijui. Angalia list hii ya watu wanaotambulika kama Baba wa Taifa wa Mataifa yao na uniambie kama kuna uhusiano wowote wa wao kuwa viongozi wa kwanza wa Taifa huru: Hii ni mifano michache tu
Country Father of the Nation Source Cuba Carlos Manuel de Céspedes del Castillo Thomas, Hugh 1971. Cuba, or the pursuit of freedom. Eyre & Spottiswoode, London. Revised and abridged edition 2001, Picador, London. Chapters 16 & 17. Croatia Ante Starčević Tanner, Marcus (2001). Croatia: A Nation Forged in War (2nd ed.). Yale University Press. p. 102. Chile Bernardo O'Higgins Harvey, Robert (2000). Liberators: Latin America's Struggle for Independence. New York: The Overlook Press India Mahatma Gandhi The Collected Works of Mahatma Gandhi, Government of India (CWMG), Vol I, p. 150 Bolivia Simón Bolívar Bushnell, David. The Liberator, Simón Bolívar. New York: Alfred A. Knopf, 1970 Israel Theodor Herzl Brenner, Michael, and Shelley Frisch. Zionism: A Brief History (2003) Sierra Leone Thomas Peters Sanneh (2001), p. 50 France Clovis 1 Brown, Peter (2003). The Rise of Western Christendom. Malden, MA, USA: Blackwell Publishing Ltd.. p. 137 Ireland the seven signatories of the Proclamation of the Irish Republic: Patrick Pearse, James Connolly, Éamonn Ceannt, Tom Clarke, Seán Mac Diarmada, Thomas MacDonagh, and Joseph Mary Plunkett. Robert Emmett is also considered a founding father Netherland Prince William I of Orange (1533–1584)
Sasa ujinga wangu hapo uko wapi ndugu yangu? Nini maana ya father of the nation? Kwa Tanzania ni nani? Kinjeketile?
By Jasusi
Kiongozi wa kwanza wa nchi yeyote huitwa founding father. Marekani: George Washington. Singapore: Lee Kuan Yew
Ghana: Kwame Nkrumah. Tanzania: Julius Nyerere. Malaysia Tunku Abdul Rahman. etc. etc.
By KisindikaUnadhihirisha ujinga wako kwa kuongelea vitu ambavyo huvijui. Angalia list hii ya watu wanaotambulika kama Baba wa Taifa wa Mataifa yao na uniambie kama kuna uhusiano wowote wa wao kuwa viongozi wa kwanza wa Taifa huru: Hii ni mifano michache tu
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Country[/TD]
[TD]Father of the Nation[/TD]
[TD]Source[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cuba[/TD]
[TD]Carlos Manuel de Céspedes del Castillo[/TD]
[TD]Thomas, Hugh 1971. Cuba, or the pursuit of freedom. Eyre & Spottiswoode, London. Revised and abridged edition 2001, Picador, London. Chapters 16 & 17.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Croatia[/TD]
[TD]Ante Starčević[/TD]
[TD]Tanner, Marcus (2001). Croatia: A Nation Forged in War (2nd ed.). Yale University Press. p. 102.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chile[/TD]
[TD]Bernardo O'Higgins[/TD]
[TD]Harvey, Robert (2000). Liberators: Latin America's Struggle for Independence. New York: The Overlook Press[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]India[/TD]
[TD]Mahatma Gandhi[/TD]
[TD]The Collected Works of Mahatma Gandhi, Government of India (CWMG), Vol I, p. 150[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bolivia[/TD]
[TD]Simón Bolívar[/TD]
[TD]Bushnell, David. The Liberator, Simón Bolívar. New York: Alfred A. Knopf, 1970[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Israel[/TD]
[TD]Theodor Herzl[/TD]
[TD]Brenner, Michael, and Shelley Frisch. Zionism: A Brief History (2003)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sierra Leone[/TD]
[TD]Thomas Peters[/TD]
[TD]Sanneh (2001), p. 50[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]France[/TD]
[TD]Clovis 1[/TD]
[TD]Brown, Peter (2003). The Rise of Western Christendom. Malden, MA, USA: Blackwell Publishing Ltd.. p. 137[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ireland[/TD]
[TD]the seven signatories of the Proclamation of the Irish Republic: Patrick Pearse, James Connolly, Éamonn Ceannt, Tom Clarke, Seán Mac Diarmada, Thomas MacDonagh, and Joseph Mary Plunkett. Robert Emmett is also considered a founding father[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Netherland[/TD]
[TD]Prince William I of Orange (1533–1584)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sasa huoni kwenye hiyo mifano niliyotoa kwamba si lazima kiongozi wa kwanza wa nchi aitwe Baba wa Taifa? Kuhusu ni nani anayestahili nimesema anayestahili ni Kleist Sykes kwa sababu yeye ndie muasisi wa TAA, yeye ndie aliyeweka misngi madhubuti ya chama cha kupigania uhuru wa Tanganyika na yeye ndiye aliyejitolea kwa hali na mali kuhakikisha kwamba chama cha TAA kinaenea Tanganyika nzima kwa malengo ya kupigania uhuru wa Mtanganyika. Chini yake, hotuba maalum ya kutaka Watanganyika wapewe nafasi katika maamuzi ya nchi yao iliandaliwa na kupelekwa UN. Ilikataliwa bila sababu za msingi lakini ni hotuba hiyo hiyo ikatumiwa tena wakati Nyerere alipokwenda UN kudai Uhuru wa Tanganyika. Hivyo kazi kubwa ilifanywa na huyu Kleist Sykes na baadaye ikaendelezwa na mwanawe Abulwahid Sykes baada ya kifo cha baba yake.
Habari hizo zinapatikana kwenye links hizi:
TAA strikes fear in colonial hearts
The Sykes legacy lives on
Kimsingi Mh Rais Kikwete hakujiita Dr kihihivi bali ni udaktari wa heshima( Honorary doctorate) aliotunukiwa ktk chuo kikuu cha Nairobi baada ya kazi kubwa ya upatanishi wa mgogoro ule kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kenya wa 2007 na kufanikiwa kuwapatanisha mahasimu Raila Odinga na Kibaki dakika za mwisho.. Lazima ukumbuke kwamba mgogoro huu uliwashinda kabisa wapatanishi Koffi Annan, Benjamin Mkapa, Graca Machel,Mwenyekiti wa AU wakati ule Rais John Kuffor wa Ghana na Mwenyekiti wa EAC wakati huo Rais Museven wa Uganda..Kutokana na juhudi kubwa za Rais Kikwete maafikiano yakapatikana na ndipo jopo la maprofesa Nairobi University lilipomtunuku Udktari huo wa heshima..Pia kihistoria inaonesha kuwa Kikwete ndo Rais wa kwanza barani Africa kupewa udaktari wa heshima na chuo kikuu hicho cha Nairobi..Watanzania tuache upotoshaji juu ya udaktari wa mh kikwete, tuwe wakweli.
Kwa nini unasema hivi?Mzee , Baba wa Taifa yote sawa tu. Maadamu katika historia ya Tanzania mpaka mwisho wa dunia haitabadilika kuwa na baba wa taifa mwingine zaidi ya Nyerere.
Kwa nini unasema hivi?
Umeshawahi kufikiria kuwa Taifa la Tanzania (kupitia Muungano) linaweza kufa huko mbeleni? unafikiria kuwa nyerere bado atakuwa "baba wa Taifa" bila ya Tanzania?
Umeshawahi kufikiria kuwa nyerere hakuwa muasisi pekee wa nchi inayoitwa Tanzania?
Maandamano ya nini wakati hatumtambui?!Kilicho baki;Anzisheni maandamano kupinga Nyerere kuwa baba wa Taifa.
Maandamano ya nini wakati hatumtambui?!
Tuko pamoja!Oooh Good, sasa hakuna haja ya kuumiza kichwa kujadili hoja ya baba wa taifa au mzee Nyerere. Kila mtu aamini anachokiamini bila kumbuguzi mwenzake. (Ni kama vile Wakristo wanamuamini YESU na Waislamu wanamuamini Mohamad. Siku ya Kiama ndiyo ukweli utajulikana kuwa nani alichagua fungu lilio jema). Hivyo na kwenye hili suala la Nyerere kila Mtu aamini anacho ona kina mfaa, maana hakuna sheria inayokubana au kukulazimisha.