Kikwete: MZEE NYERERE

Kikwete: MZEE NYERERE

Visilani tuu baada ya kusepa Monduli mwalimu aliamua kumtupia Mtwala kama katibu wa chama
Just iamgine miaka ya 1970s graduate kutupwa mtwara wakti mimi ata miaka ya 1990s Mtwara nilikuwa nasita.
N nasikia alitoka uko kwa msaada wa Bri Nnauye ambaye alimpigia pande kwa Mwinyi jamaa akatupwa Zenji baadae akarudishwa mjini.
So you can now understand vyeo vya akina Nape plus our toothless Mininster Mwinyi ambaye yupo kama hayupo
Mwalimu aliamini kwa mawazo aliyo nayo hakustaili ata kukaa DSM and I think Mwalimu was right we are now in a deep sheet na soon izi choko choko za kidini tutazichapa soon
 
Mwislam yeyote anae jitambua hawezi kutumia jina la "BABA" kama cheo kwa Mwalim Nyerere. Cheo cha "BABA" hutumiwa na wakatoriki, ikiwa na maana "mtakatifu. Kwahiyo kwetu Waislam, Nyerere sio mtakatifu hata kidogo. Lakini kwa wenzetu wame nufaika kupitia yeye (Nyerere) kwahiyo aishangazi mukimpa cheo cha "UBABA". Nawala sio kosa kwayeyote atakae kataa kumuita "BABA", kwani hata katiba yetu haimtambui kwa cheo hicho
 
Na yeye akistafu hatutamwita kaka wa Taifa, shauri yake!
 
Mwislam yeyote anae jitambua hawezi kutumia jina la "BABA" kama cheo kwa Mwalim Nyerere. Cheo cha "BABA" hutumiwa na wakatoriki, ikiwa na maana "mtakatifu. Kwahiyo kwetu Waislam, Nyerere sio mtakatifu hata kidogo. Lakini kwa wenzetu wame nufaika kupitia yeye (Nyerere) kwahiyo aishangazi mukimpa cheo cha "UBABA". Nawala sio kosa kwayeyote atakae kataa kumuita "BABA", kwani hata katiba yetu haimtambui kwa cheo hicho

mkuu baba yako unamuitaje ??????kama unaona baba inamaana ya utakatifu na hakuna binaadamu mtakatifu..........
 
Kwani yeye hajui kwamba ni baba wa akina Makongoro? Sio babake.
 
Mwislam yeyote anae jitambua hawezi kutumia jina la "BABA" kama cheo kwa Mwalim Nyerere. Cheo cha "BABA" hutumiwa na wakatoriki, ikiwa na maana "mtakatifu. Kwahiyo kwetu Waislam, Nyerere sio mtakatifu hata kidogo. Lakini kwa wenzetu wame nufaika kupitia yeye (Nyerere) kwahiyo aishangazi mukimpa cheo cha "UBABA"../QUOTE]
Hizo ni pumba, hebu tuambie Uislamu wa Jk unahusia au kutohusiana vipi na mtu kuitwa baba?
Mleta mada hakuongelea dini zao lkn kwa Uislamu wako feki umechomekea din
 
Mmeanza vurugu nyie magaidi

unajua maana ya gaidi we kijana mkatonta? Magaidi wamejaa huko kwenu makanisani halafu mmawazingizia waislamu.jk nyerere akiwa mmojawapo au hauamini nikuonyesha ugaidi wake?
 
mkuu shukrani kwa taarifa hii,...
Na ilikuaje viongozi wa DINI walienda mbali zaidi na kutuamisha ya kua jamaa ni chaguo la Mungu, hawakua na hishoria hii au wali fanya dhami ya kupuuzia historia..?????

Hilo la viongozi wa dini na chaguo la Mungu ni mtandao tu ulioundwa kwenye maeneo yote kwa kutumia njia halali na haramu.
 
Tatizo ni kwamba historia yote ya vuguvugu la Watanganyika wakati wa enzi za T.A.A haijaandikwa kwa makusudi na utawala wa Nyerere ili kuwapa Watanzania picha kwamba mambo yote ya kudai uhuru yalianzia T.A.N.U alipoingia yeye. Baba wa Taifa letu lazima awe muasisi wa T.A.A. kwani ndio mtandao ulioanza kuwaunganisha Watanganyika. Sasa waulizwe wazee wachache waliobaki waliokuwepo wakati T.A.A. ilipoanzishwa ndio watatuambia nani anastahili kuitwa Baba wa Taifa

Ndugu ingekuwa vyema kama ungetaja nan sasa anastahil kuitwa hvyo.smetme tuache chuki binafs,ukabila,udin na urang ktk mambo ya msing
maana mwishowe tunaonekana sisi tunapinga tu kwa maana ya kuangalia kama jina ni john au juma.huu ni upumbavu maana afadhar na ujinga unaweza kuelimishika.sasa mi nategemea mwenzangu alhamdulilah ungeleta hoja ya msing lakin nawe tena unajibu kimaamuma tu.jaman..mi simwit nyerere baba wa taifa lakin siping kwa sabab za kijinga kwa mtu anapomwita.hatuwez kukataa hil lipo waz kashirik sana ktk harakat za uhuru na anastahil heshima yake pamoja na udhaifu wake kama binadamu but at least nch miaka hyo ilikuwa inaheshimika not now tunakuwa ma toy tu ma laughing stock
 
unajua maana ya gaidi we kijana mkatonta? Magaidi wamejaa huko kwenu makanisani halafu mmawazingizia waislamu.jk nyerere akiwa mmojawapo au hauamini nikuonyesha ugaidi wake?

kaka ukizungumzia ugaid hilo halina kificho.kuwasingizia ugaid wakristo wala haina hata chembe ya uhusiano.ktk ukristo hata kumuua jambaz ni dhambi. MKRISTO HARUHUSIW KUUA KWA KIGEZO CHOCHOTE NA MUNGU WA KIKRISTO HATETEWI NA WANADAMU.KANISA LITAKALODHURU AU KUUA MTU YEYOTE LINATENDA DHAMBI KUBWA SANA.KUUA NI KAZ YA SHETAN.YESU ALIMPONYA HATA YULE ASKAR ALIYEKUJA KUMKAMATA WAKAMTESE WAKAMUUE.HUU NDO UKRISTO
 
mkuu baba yako unamuitaje ??????kama unaona baba inamaana ya utakatifu na hakuna binaadamu mtakatifu..........
Ushasema baba yangu, kwani Nyerere ni baba yangu? Mwenye haki ya kumuita hivyo ni Makongoro sio mie
 
Ipo siku tutaufufua mwili wa Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere,ili tujue ukweli kuhusu kifo chake,haiwezekani mwl.aage toka Tanzania akiwa hai,akarudi akiwa mfu,na mara baada ya kifo chake ndipo tukashuhudia wizi mkubwa ukitamalaki kwenye sekta zote kwa kigezo cha uwekezaji na utandawazi.OLE WENU MLIOYAFANYA HAYO,NAWAAPIA HAKITASALIA KITU JUU YENU NA TUTAWANYONGA LIVE PALE NATIONAL STADIUM.
 
mkuu si uwataje au mtaje huyo mwanzilishi wa TAA na ss tumjue acha kuuma uma maneno
 
nimewahi kusikia kwa mtu kuwa rais kikwete huwa hamuiti mwalimu nyerere 'baba wa taifa', kama tunavyofanya watanzania wengi. Japo sina uhakika sana na hili, mimi pia nimemsikiliza jk mara kadhaa anapoongea kuhusu nyerere hamuiti baba wa taifa bali humuita 'mzee nyerere'.

Kuna sababu yoyote ya maana inayomfanya jk asimuite baba wa taifa? Au ameamua mwenyewe tu kumuita hivyo? Kuna tatizo lolote kutokumuita baba wa taifa?
hoja yako haina mshiko.kutomuita nyerere baba wa taifa sio dhambi.huo ubaba wa taifa kabatizwa na watu haukushushwa.
 
Back
Top Bottom