Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,371
<br />Mwanzo, nilidhani utakua uzushi, ila leo kupitia maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa CCM, ndio nimeamini kupitia matamshi yake. Hv ni kwanini Ndg. Mrisho Kikwete huwa hataki kutamka Jina "Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere"????<br />
Je na zile picha za kumbukumbu zenye Jina la Baba wa Taifa..., ziliandikwa kimakosa??
<br />
Yeye si kajianzia la kwake bwana maendeleo mmekataa kumuita badala yake mmemwita fastjet?