Kikwete: MZEE NYERERE

Kikwete: MZEE NYERERE

mwislam yeyote anae jitambua hawezi kutumia jina la "baba" kama cheo kwa mwalim nyerere. Cheo cha "baba" hutumiwa na wakatoriki, ikiwa na maana "mtakatifu. Kwahiyo kwetu waislam, nyerere sio mtakatifu hata kidogo. Lakini kwa wenzetu wame nufaika kupitia yeye (nyerere) kwahiyo aishangazi mukimpa cheo cha "ubaba". Nawala sio kosa kwayeyote atakae kataa kumuita "baba", kwani hata katiba yetu haimtambui kwa cheo hicho
udini huo unawasumbua hv mkoje nyie?angekuwa sykes mngemwita baba wa taifa'wanafiki sana nyie
 
Eti inasemekana kuwa Kambona alimwita hivyo mwanzoni mwa Uhuru hivyo basi ndio Watanzania woote wanatakiwa wamwite hivyo!.

Vilevile tukiangalia ni vipi tutathibitisha authenticity ya maneno yanayosemekana kuwa ni ya Kambona? sijui.
 
Pointless!
 
kaka ukizungumzia ugaid hilo halina kificho.kuwasingizia ugaid wakristo wala haina hata chembe ya uhusiano.ktk ukristo hata kumuua jambaz ni dhambi. Mkristo haruhusiw kuua kwa kigezo chochote na mungu wa kikristo hatetewi na wanadamu.kanisa litakalodhuru au kuua mtu yeyote linatenda dhambi kubwa sana.kuua ni kaz ya shetan.yesu alimponya hata yule askar aliyekuja kumkamata wakamtese wakamuue.huu ndo ukristo

kama ukristo hauruhusu kuuwa lakini inaruhusu kudhulumu
 
Mleta mada unaonekana mbeya mbeya sana alafu mfitinishaji. Kimsingi the way mtu anamheshimu na kumthamini mtu is not compulsory kuwa expressed kwa maneno au kwa vitendo. Mimi leo naweza tamka kwa kumuita Nyerere father of the nation lakini bado image yake kwangu ikawa absolutely negative. Hivyo basi ndugu Jakaya kumwita Nyerere is not a case by the Nyerere ametoweka akiwa mzee.
 
ukiristo bna ukipigwa kibao cha kulia mgeuzie na kushoto mnafata haya ya biblia au mkipigwa mnapigana
 
eti Alimwambiaga bado mtoto hawezi kuiongoza nchi mwaka '95... akanuna.....

Huyu jamaa ana visasi vya ajabu sana. Kukataliwa uraisi ndiyo analipa visasi kwa kumnunia hadi Marehemu?

Lakini usishangae kuona wala si suala la uraisi. Yawezekana jk ni muumini mwaminifu wa udaku kwamba Nyerere hakupigania uhuru bali walipigania waislam,sasa anaamua kuonyesha kwamba Nyerere hastahili kuitwa baba wa taifa ila labda wangekuwa kina Marehemu Bibi Titi.

RIP WAPIGANIAJI WA UHURU WETU.
 
Tatizo ni kwamba historia yote ya vuguvugu la Watanganyika wakati wa enzi za T.A.A haijaandikwa kwa makusudi na utawala wa Nyerere ili kuwapa Watanzania picha kwamba mambo yote ya kudai uhuru yalianzia T.A.N.U alipoingia yeye. Baba wa Taifa letu lazima awe muasisi wa T.A.A. kwani ndio mtandao ulioanza kuwaunganisha Watanganyika. Sasa waulizwe wazee wachache waliobaki waliokuwepo wakati T.A.A. ilipoanzishwa ndio watatuambia nani anastahili kuitwa Baba wa Taifa
G

Pengine hao walioanzisha TAA na AA walikuwa baba wa taifa hilo waliloliongoza. Sijui walikuwa viongozi wa kwanza wa taifa gani? Naomba utusaidie.
 
G

Pengine hao walioanzisha TAA na AA walikuwa baba wa taifa hilo waliloliongoza. Sijui walikuwa viongozi wa kwanza wa taifa gani? Naomba utusaidie.
Kiongozi wa kwanza wa nchi huitwa Rais wa kwanza, au Waziri Kuu wa kwanza!
 
Mwislam yeyote anae jitambua hawezi kutumia jina la "BABA" kama cheo kwa Mwalim Nyerere. Cheo cha "BABA" hutumiwa na wakatoriki, ikiwa na maana "mtakatifu. Kwahiyo kwetu Waislam, Nyerere sio mtakatifu hata kidogo. Lakini kwa wenzetu wame nufaika kupitia yeye (Nyerere) kwahiyo aishangazi mukimpa cheo cha "UBABA". Nawala sio kosa kwayeyote atakae kataa kumuita "BABA", kwani hata katiba yetu haimtambui kwa cheo hicho

Wafilisti bana...!
 
Kiongozi wa kwanza wa nchi huitwa Rais wa kwanza, au Waziri Kuu wa kwanza!

Ndio! Raisi wa kwanza na Baba wa Taifa...Shime Watanzania tujivunie kuwa na Baba aliyepigania uhuru wetu...Ni nchi chache zenye Baba wa Taifa..
 
Huyu jamaa ana visasi vya ajabu sana. Kukataliwa uraisi ndiyo analipa visasi kwa kumnunia hadi Marehemu?

Lakini usishangae kuona wala si suala la uraisi. Yawezekana jk ni muumini mwaminifu wa udaku kwamba Nyerere hakupigania uhuru bali walipigania waislam,sasa anaamua kuonyesha kwamba Nyerere hastahili kuitwa baba wa taifa ila labda wangekuwa kina Marehemu Bibi Titi.

RIP WAPIGANIAJI WA UHURU WETU.

Kuna ukweli hapa...
 
Back
Top Bottom