The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 256
Mmh..this is not good
resign?
no way, kwa lipi hasa?
This is a wishful thinking. Kwa akili yako unaamini kabisa kwamba kwa njia hii unaweza kuiminya demokrasia na ku-impose unachokitaka wewe. Nenda uarabuni kama unataka, siyo utuletee uchochezi wako. Hapa sisi tunakosoa lakini hatuwezi kujiingiza katika vitendo vyako vya uhaini!
Link hii ni ya uongo na uzushi President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook nayo hii ni ya kizushi Chama cha Demokrasia na Maendeleo | Facebook.
Tunahitaji watu wa CDM wenye authority waseme kama ile kitu wameinitiate wao sio kuleta upuuzi kama huuMbona hujauliza zile pages za face book za jakaya kikwete kama ni zake kweli?
Hapo ukijibu kama ni zake wana chadema tupo tutajibu pia.
Ulimwengu wa teke linalokujia ndio huu mwenzangu, hata wewe unatumia jina fake lakini ujumbe unafika. Hilo ndilo la maana.
bado kuna tatizo hapa maana wengi kwenye facebook wanatumia majina halisi na kwa mfumo wetu wa usalama hapa TZ si ajabu ikatengwa Bil. 200 kwenye budget kudeal na wanaosupport. Lakini tunaweza kumtoa, ngoja niingie fc kussuportHatuna umeme kwahiyo access yetu ya facebook ni limited; Mgao wa umeme ni blessing in disguise kwa ******!!
Inawezekana kabisa!