Hatutatumia jicho la tatu bali bali tutayafungua macho yote tuone utekelezwaji wa ahadi ya kwanza hadi ya mwisho! Kweli kama atatekeleza zote kuna watu wataumbuka. Lakini hadi sasa ni wastani wa asilimia 25% nadhani kama hizo 75% zilizobaki asipotekeleza CCM itaumbuka 2015! Mfano mmoja ni kuwa katika kampeni aliahidi kujenga hospitali 8 za rufaa!Mipasho hiyo hiyo ndiyo itakayowaumbua.
JK amejitahidi sana kujenga miundombinu japo hela zenyewe za madeni na sijui atakuja kulipa nani.
barabara ya kutoka singida hadi arusha ni moja ya sehemu zilikuwa zinaniudhi sana!!
HONGERA JK JAPO CCM mwisho wao ni 2015
Tunasubiri miaka 2 Kigoma iwe kama Dubai
mbona lissu amepimwa mirembe na anatumia dawa sisi hatusemi
Tunasubiri miaka 2 Kigoma iwe kama Dubai
Chadema wanafanya siasa tu ila wanajua kuwa hakuna raisi bora katika historia ya nchi yetu ya tanzania km jk.
Kama Mwenyekiti wa Chadema Mbowe,anakiri Jk ni rais wa maendeleo Bavicha hata wakipinga kazi bure.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Miundombinu Mhe John Pombe Magufuli Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe L:eonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe wakikata utepe mojawapo ya magreda katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na kupewa shukurani na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaidiwa kuzindua jiwe la msingi na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai
Asante Rais Kikwete kwa kauli yako hiyo;
.......Halafu nyie hapa ubaoni tunawaambia kila siku kuwa hakuna zaidi ya ccm
lakini mnajitia wazimu na kutoa matusi na kashfa. Hata hao mnawataja kuwa marais wenu wajao nao
pia wanalipwa posho zao na serikali iliyoko madarakani.
Heshima sana kwa Rais Kikwete, Serikali yangu na Chama Cha Mapinduzi.
.......... chama
Daaaaaaaaaah?
Ni wajibu wake.
Ni kodi zetu wala sio hela zake.
Ufujaji ni mkubwa zaidi ya utekelezaji.
Umeme bado wa kuunga unga.
Vitambulisho viko wapi?
Reli zote ni zero.
Air Tanzania ni zero.
Elimu ni zero.
Afya ni zero.
Maisha bora ni zero.
Go figure!
Hivi maccm mnaweza kuwa wajinga kiasi hiki? Hela wanayolipwa wafanyakazi wa serikali na wabunge ni kodi tunayolipa. Ndio maana wananchi inabidi tuwe wakali kwa mafisadi.
Cam on now. Don't be that stupid.
Hivi maccm mnaweza kuwa wajinga kiasi hiki? Hela wanayolipwa wafanyakazi wa serikali na wabunge ni kodi tunayolipa. Ndio maana wananchi inabidi tuwe wakali kwa mafisadi.
Cam on now. Don't be that stupid.
Ndo maana hamuelewi kila siku;
Sijui hata kama unachangia hata shilingi kwenye
kodi; nyie ndo wakwepaji kodi na majungu kibao;
Napenda Tanzania napenda CCM.
Tatizo ni kwamba na yeye hafahamu kama ni wakati gani ni rais na ni wakati gani ni kiongozi wa chama. Anazidi kuchanganyikiwa pale anapotembea mahali kama rais anakutana na mawaziri na watendaji wa serikali wamevaa kijani. Anajisahau na kuanza kumwaga sera za chama akidhani ni mkutano wa CCM. Akina pro. Muhongo msaidieni rais acheni kutinga na vest za kijani kwenye mkutano wa rais.Kinachoniachaga hoi ni kwamba Rais ambaye anatakiwa kutofungamana na upande wowote katika nchi yake kwa kuwa ndiye kiongozi wa Taifa naye anatoa mipasho. Kwa mantiki hii Rais anatofauti gani na Nape au Mwigulu? Busara ni jambo muhumu sana kwa kiongozi mkuu wa nchi.