Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
na nina huakika kuna mijitu ilimpigia makofi na kucheka aliposema maneno haya.
..................... lakini alikuwa anatania tuuu
Whatever happened to personal responsibility?
Ukiunganisha doti utaona anazungumzia uzinzi na ndio maana habari ikatoka hivyo. Lakini pia ukisoma quoatation ya mwandishi na title utaona havifanani.baada kutoa muongozo ndio unawakumbushia sasa "personal responsibility" yao sio kuwalaumu tu moja kwa moja.
baada kutoa muongozo ndio unawakumbushia sasa "personal responsibility" yao sio kuwalaumu tu moja kwa moja.
Kwenye red hilo ndilo haswa tunalolizungumza hapa ambalo rais wetu kapungukiwa.Alikuwa na hoja, ila angetafuta namna nzuri ya kuiwakilisha kulingana na status yake, au angemtafuta moja wa watendaji wake kwenye mihadhara husika kufikisha ujumbe wa bwana mkubwa. Pia jamii zetu tuwe majaji wazuri wa kupima uwezo wa kiongozi na si kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa (kuna ka ujima hapa!!).
Wakuu huyu bwana ni very intelligent. Anaongea with experience. Haropoki tu. Huwezi jua labda alishakutana nao wenye viherehere akawagonga mimba.....
Wakuu huyu bwana ni very intelligent. Anaongea with experience. Haropoki tu. Huwezi jua labda alishakutana nao wenye viherehere akawagonga mimba.....
Mwongozo wa nini kwenye maisha ya watu binafsi? Yaani hamna akili hadi mumsubiri raisi aje awape mwongozo kuachana na ngono zisizo za lazima?
Code:Code:
Chaguo la Mungu hilo...........
waliobakwa juzi na polisi wakipata mimba utasemajeWasichana wanaopata mimba ni viherehere vyao...
tunazungumzia watoto(wanafunzi) mkuu. ndio maana nikasema yeye kama mzazi/kiongozi .
waliobakwa juzi na polisi wakipata mimba utasemaje
kuna vitoto vidogo vya shule vinadanganywa kwa peremende na chips utasemaje
nk nk