Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,698
- 12,425
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amefichua siri kuwa ni Lowassa ndiye alimshawishi kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995.
Rais Mstaafu Kikwete anasema hakuwa na wazo la kutaka kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho lakini aliamua kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho licha ya kwamba hakushinda.
Credit - AzamTv