Highest level of academic hypocracy
sasa atakuwa anaitwa
mheshimiwa dakta dakta dakta baba rizone kuikwete
mbona udokta wa nyerere haupingwi, unapingwa huu tu...tuache hizo..tutakufa nacho ...kijiba cha roho
hivi anashindwa nini kuingia darasani akapewa U Dr kama wa Magufuli??? wampe na udokta wa kusakata kiduku

subiri mahafali ya chuo cha sanaa bagamoyo.
Huyu Prof Lyamuya alisota sana alipokuwa anachukua degree yake ya pili alikuwa ana specialize obstretrics and gynecology aka shindana na Prof Kaisi wakamdisco baadaye akajiunga na microbiology akapita anafundisha wanafunzi pale mtu aliyesota namna hiyo anakuwa kati ya makurumbembe wa kujipendekeza kutoa degree ya bure kwa Jakaya wakati wanafunzi hapo muhimbili wanalala kumi kumi kwenye vyumba hospitali yenyewe ya muhimbili wanakofundishia wanafunzi wao kwa vitendo hawana vifaa kabisa afya ya jamii imeshuka kabisa ndio maana Tanzania ni nchi tunaongoza kwa magonjwa kama yaa TB,Malaria,UKIMWI,upungufu wa damu kwa wanawake na watoto,surua na magonjwa ya kuhara kikiwemo kipindupindu ,hawa wasomi wetu wamekamatika hawawezi hata kufurukuta pole zao kugeuka wanasiasa
mbona udokta wa nyerere haupingwi, unapingwa huu tu...tuache hizo..tutakufa nacho ...kijiba cha roho