Kikwete kupeleka Mbuzi wake kushindana Nane Nane

Kimilidzo

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
1,346
613
Ameahidi kupeleka mbuzi kutoka katika shamba lake kwenda kushindana kitaifa kwenye maonyesho ya nane nane. Hiyo ni sehemu ya hotuba ya nane nane leo Dodoma

My take; Kama Rais haoni matatizo kama ya Pamba kukosa soko, au mahindi kuzuiwa kuuza nje anazungumzia vitu vidogo kama kushindanisha mbuzi kwenye nanenane basi mjue nchi haina mwenyewe.
 
hata angesema kitu kingine kiwe cha msingi au si cha msingi kamwe sijafikiria kama ungemuunga mkono mana kazi yako kuu wewe ni kuangalia makosa na wala hujawahi kusema mazuri,KILA PENYE GIZA HUWA MWANGA UNATANGULIA.Mna mawazo mafinyu kama LEMA.
 
hapo ndiyo uwezo wake wa kufikiri umefikia mwisho. halafu labda tu kapitiwa kidogo, maana nivyowafahamu wakwere wengi ni waganga wa jadi/wachawi, hata baba yake aliukwaa u area commissioner kwa uganga/uchawi wake.
 
hata angesema kitu kingine kiwe cha msingi au si cha msingi kamwe sijafikiria kama ungemuunga mkono mana kazi yako kuu wewe ni kuangalia makosa na wala hujawahi kusema mazuri,KILA PENYE GIZA HUWA MWANGA UNATANGULIA.Mna mawazo mafinyu kama LEMA.

Tena huyo hata zuri la Kikwete hulifanya kuwa kosa. Ukimwambia sasa hivi awamu ya Kikwete miradi ya barabara za lami zaidi ya awamu zote ukichanganya pamoja atakukatalia. wakati magufuli tumemsikia asubuhi hii.
 
Mashindano?

mbuzi+2.JPG
 
<br />
<br />
Hapo sasa,ktk speech nzima ya Mhe.rais yeye ndio kaambulia hapo tu..
 
hata angesema kitu kingine kiwe cha msingi au si cha msingi kamwe sijafikiria kama ungemuunga mkono mana kazi yako kuu wewe ni kuangalia makosa na wala hujawahi kusema mazuri,KILA PENYE GIZA HUWA MWANGA UNATANGULIA.Mna mawazo mafinyu kama LEMA.
<br />
<br />
tehe mufilisi mwingine huyu!!
 
Mleta mada nikukosoe kidogo,kasema wakwere asili yao si wafugaji,vi2 kama mbuzi,ng'ombe kwao vinaonekana kama wanyama wengine na hata ng'ombe kwao wanamwogopa hasa mkia wake unaposimama ndo inakuwa kila mtu na njia yake

My take: Anashindwa kujua anaposema kushindanisha huo mchezo hautaweza kubalansi kwa maana wakulima walio wengi hawana mahitaji ya kuwafanya mifugo yao ikashindana na ya kwake yenye kila aina ya huduma na ikashinda,kwa hyo mchezo siyo fair,nadhani anatakiwa kujua wafugaji wanataka nini kwanza,awawezeshe na hatimaye ushindani uanze,vinginevyo ni dhiaka na kukosa weredi wa urais na wa kiuongozi
 
hata angesema kitu kingine kiwe cha msingi au si cha msingi kamwe sijafikiria kama ungemuunga mkono mana kazi yako kuu wewe ni kuangalia makosa na wala hujawahi kusema mazuri,kila penye giza huwa mwanga unatangulia.mna mawazo mafinyu kama lema.
umetoroka mirembe lini!??
 
Kwa nia njema kabisa na kwa manufaa ya Taifa pamoja na kulinda heshma ya taasisi ya Urais, ningeshauri Rais Kikwete aajiri a competent speech writer, na good PR. So far tangu amepata urais 2005 hajawa na speech hata moja ambayo ina vitu vya maana. None! Yeye mwenyewe nadhani sio good speech writer kama ilivyokuwa kwa Mkapa.

I hope kwa muda uliobakia ataliona hili maana haya anayohutubia kwenye majukwaa yakija kuwekwa kwenye kumbukumbu za taifa itatoa picha ya kusikitisha.
 
Ameahidi kupeleka mbuzi kutoka katika shamba lake kwenda kushindana kitaifa kwenye maonyesho ya nane nane. Hiyo ni sehemu ya hotuba ya nane nane leo Dodoma

My take; Kama Rais haoni matatizo kama ya Pamba kukosa soko, au mahindi kuzuiwa kuuza nje anazungumzia vitu vidogo kama kushindanisha mbuzi kwenye nanenane basi mjue nchi haina mwenyewe.

Ujue wakati mwingine tunapoona mambo hayafanyiki kama tulivyotarajia, tunapaswa turudi nyuma kuangalia uwezo wa kuongoza wa viongozi wetu, na tena wakati mwingine turudi nyuma zaidi kuona ikiwa hawa viongozi wetu wanatokana na jamii zilizotupatia machifu enzi hizo? Kwa yeyote mwenye taarifa tafadhali anijurishe chief wa wakwere aliitwa nani, maana zaidi tumesikia Mkwawa,mirambo,Isike, Mangi meli na wengine wengi
 
Hayo mashindano yanafanyikia wapi? Mbona jk ana mbuzi wengi sana, milioni 42 kabisa. Watz ni mbuzi wa jk. Na hawez kushnda kwan mbuz wake wamekondeana kwa njaa, hawana umeme, mfumuko wa bei.
 
Tena huyo hata zuri la Kikwete hulifanya kuwa kosa. Ukimwambia sasa hivi awamu ya Kikwete miradi ya barabara za lami zaidi ya awamu zote ukichanganya pamoja atakukatalia. wakati magufuli tumemsikia asubuhi hii.

aungwe mkono kwa lipi? Mbuzi wako vijijini wenye kufaa anataka wake kusudi apate cheti cha ushindi hali ufugaji haufahamu? magufuli na wewe mwenyewe nyote zoba tu. Unaweza kusema awamu hii wamejenga barabara zenye lami ama za majaribio? Hizi barabara wanazojenga wachina ni za majaribio lakini zinatumia gharama kubwa sana lami iogopayo mvua waitumia kumsifia ****** kajenga barabara?
 
Back
Top Bottom