Kikwete is incapacitated - bodily and mentally! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete is incapacitated - bodily and mentally!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamayu, Aug 23, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  JK leadership has proved failure because of his poor mind. There is a saying that if the body is healthy, the mind will also be healthy. JK's body is not healthy thus his mind is not as well. We have witnessed him collapsing four times now, what about a number of collapse we have not witnessed or heard?

  Now he cannot think properly, for instance, he cannot solve a word problem like this: "if you have 5,000,000 CCM members, every member convinced 3 non members to vote, then the member and those three vote for CCM, how many votes will CCM get?"

  We have to blame the cabinet violating our constitutuion all this time - URT constitution section 37 (2).

  His buddies are now using him since they have already discovered that he is incapacitated!!! The intelligence/ security people should have first aid training as well since circling a person who has collapsed is very dangerous since s/he might die instantly of lack of oxygen!!

  We will see a lot in five year's time since this is just a tip of the iceberg!
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwa mfumo uliopo wa rais kuwa sawa na jeshi la mtu mmoja, naamini kiasi fulani kwamba hatuhitaji rais mgonjwa. Kungekuwa na plausible system inayojiendesha yenyewe bila kutegemea individuals, labda kidogo ningempa 'nafasi ya kisichojulikana'..

  Lakini all in all, jamaa ni KING'ANG'ANIZI na ung'ang'anizi wake unaweza kumgharimu uhai kama sio afya yake kudhoofu zaidi.
   
 3. jaxonwaziri

  jaxonwaziri JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  :confused2:
  I am concerned, was it real or was it a fake to lure in the multitude's sympathy just like how Hillary Clinton did on her campaigns by crying publicly?
  But lets suppose he was not faking! Then What? Its horrifying to learn that CCM is entrusting the leadership of this country on a person who is not fit and healthy! Is it a ploy or a mistake? CCM needs to tell people what is this JK collapsing every now and then! We citizen of this country demand some answers, and damn good ones!
  Mr JK, it is not a must that you go on aspiring the presidential position, if you are un-fit retire gracefully and this nation will remember you with pride, otherwise if you are unfit and should anything happen (God forbid) this nation will never forgive you by tricking it into standing behind you!
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  This thread reminds me the story of former president of Nigeria.
  Viongozi wa Ki'Afrika hawapo tayari kuachia madaraka hata kama afya zao ni mbaya kwa kiasi gani.
  May God bless Hon. JK.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Haswaaa..

  Yar'dua alipigika sana akadhoofu, dhufulkhali lakini yeye yumo tu kwene usukani..Miafrika bana aarrgghh, labda uongozi wao una masherti ya kiganga ..huezi jua...
   
 6. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  This goes without saying Mr "That one" is finally throwing a towel?
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  Mimi nawalaumu wagombea wengine wa kiti hicho cha urais kupitia vyama vya upinzani, kwa nini wasimuwekee Kikwete pingamizi la kugombea nafasi hii kubwa kuliko zote nchini. Kigezo cha kutetereka kwa afya ya mgombea wa CCM kinatosha kabisa kumuondoa kwenye mbio hizi, hatumchukii na tuna mhurumia kama binadamu mwenzetu ,lakini ukweli ni kuwa mwenzetu huyu anaumwa tena anaumwa saaana. Madaktari wanakuwa wengi,mara uchovu,mara low bp, mara kisukari nk nk nk, yote haya ni kuficha ukweli, sasa tunautaka ukweli wote.
   
 8. b

  bob giza JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is not that CCM is entrusting on JK but rather himself entrusting on himself..he's a chairman..he initiates everything within CCM, who do you think within CCM can initiate something to oppose or doubt his capacity to lead the country?? no one, i say no one because CCM are known to be cowards of change, because every one wants to be either a minister, RC, DC, RPC e.t.c after JK comes back to power..so in short every one is crying for his fate...JK is every thing, he's one and only..it is our duty as Tanzanians to do something NOW than relying on CCM who can't think the opposite way...
   
 9. b

  bob giza JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata wakimuwekea pingamizi jaji lewis makame na tume yake ya uchaguzi watatupilia mbali pingamizi hilo...wooote ni waajiliwa wa jamaa..ivi wee unadhani sheria zinafuatwa nchi hii...??kumejaa viini macho tuu baasi hakuna kingine..
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa kwa ubishi!! yaan kwa bahati mbaya angekuwa ndo rais wa kwanza wa nchi hii hakika mpaka sasa angekuwa madarakani
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  joker
   
 12. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  This is the right time to call "a spade a spade". Otherwise tunakoelekea siko, tunajidanganya!
   
 13. PastorPetro

  PastorPetro Senior Member

  #13
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Our President is a sick man. He is rumoured to have a tumour. He should step aside and get the proper medical treatment he needs. The stress he is under will just shorten his life.:eyeroll2:
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hata mimi simuelewi anang'ang'ana nini? Hivi mtu mpaka kuanguka mbele ya hadhara ina maana huko kwenye shughuli zake za kawaida za kikla siku huanguka na kuzidiwa sana tuu ila tunafichwa..sasa kwanini asijijali?
   
 15. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Douglas,
  Badala ya kwalaumu wagombea wengine timiza wajibu wako. Unatarajia watamwekeaje pingamizi? Wana mamlaka gani? Njia pekee ya kumwekea pingamizi ni kushawishi marafiki zako, jirani na ndugu zako wampigie kura Dr. Slaa.
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  hahaha Kishakuwa rais atatibiwa kwa pesa ya walipa kodi mpaka kifo kwa nini haelewi.
  Nadhani hata mambo ya EPA, RICHMOND na BUZWAGI alishasahau.

  Nchi kuwa na presdaa spana mkononi. mhhh. inawezekana hata wajanja walikuwa wanapeleka mafaili akiwa hoi. mzee anaanguka tu.
   
 17. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,866
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Duuuh, hapo kwenye bold, unanikumbusha mambo yalivyokuwa miaka ya mwisho ya uatawala wa Mzee Kenyatta na Bourghiba wa Tunisia. Wajanja wakawa wana take advantage na kupungua umakini kutokana na umri mkubwa wa wa wazeee hawa!!!!
   
 18. minda

  minda JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  are you his doctor to give such an assertion? what you are saying is unwarranted because it is a mere academic exercise of logical conclusion.

  the reasons for jk's collapse were officially pronounced and sickness can befall anyone spatial temporally.
   
 19. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  The president isn't fit enough to rule us health-wise, coz hata alipokua huko Mwanza (kwa Mujibu wa Gazeti la Mwananchi) Hospitali ya Bugando walitayarisha Ambulance ready for anything na walioomba gari hilo ni uongozi wa Mkoa, so watakua wanajua kuwa at any time jamaa anaeweza akadondoka tena.

  So may be wangesema kitaalamu kuwa Mkulu wetu anasumbuliwa nini....kwani katiba anakataa kuwa na rais anaeishiwa nguvu kila mara???? kwa nini ziishe???
   
Loading...