Mie ninacho elewa ni kwamba Akiwa Waziri wa Nishati na Madini KJ alisaini mkataba nyonyaji sana wa umeme wa IPTL. Yeye pia inasemekana ndiye alisaini mkataba wa Bulyanhulu kwa mujibu wa Wakili wa Chadema Tundu Lisu. Elezeni, walikosana nini na Pr. Mwandosya hadi akajiuzulu Ukatibu mkuu ndani ya wizara iliyokuwa inaoongozwa na JK.
Mambo mengine ya hovyo ni tuhuma za kura URODA bila utaratibu. Mbona Jk ana watoto nane, wengine mama zao ni akina nani.
Mambo mengine ya hovyo ni tuhuma za kura URODA bila utaratibu. Mbona Jk ana watoto nane, wengine mama zao ni akina nani.