Hadi jana usiku,nilikuwa sijashawishika kuchangia ninachojua katika CV ya Jakaya Kikwete.Lakini baada ya HABARI LEO "kufungulia mbwa" basi acha nasi tueleza tunachojua kumhusu mgombea urais kwa tiketi ya CCM (KIkwete).
Mambo matatu ambayo NINA UHAKIKA NAYO ni kuwa Kikwete alikuwa na uhusiano na mwanamke mmoja Kinondoni Mtaa wa Isisi.Mwanamke huyo alikuwa mwenza wa mkandarasi mmoja maarufu anayesifika pia katika sanaa ya self defence.Hatimaye mkandarasi huyo alishtuklia uhusiano kati ya mwenza wake na Kikwete na wakaachana (lakini kwa uungwana akamwachia nyumba hapo Kinondoni anapoishi na mwanae).Jirani na mamakzi ya mwanamke huyo kuna grocery moja maarufu ambapo habari hiyo inafahamika waziwazi,na Kikwete ameshaonekana mitaa hiyo (kabla hajawa rais)
La pili ni kwamba Kikwete amezaa na dada mmoja mtu wa Botswana.Huyo dada ni katibu muhtasi katika kampuni moja binafsi ya sheria iliyopo East London hapa Uingereza.Mmiliki wa kampuni hiyo ya sheria ni mwanadada mmoja wa Kinigeria.Jina la dada huyo aliyezaa na JK na la mwanaye nayafahamu pia.
La tatu ni mambo ya kienyeji.Wakati wa kampeni zake za uchaguzi 2005 alikuwa anamtembelea mganga mmoja eneo la Kiberege wilayani Kilombero Mkoani Morogoro.
HAYO NINA UHAKIKA NAYO.Tetesi nilizowahi kusikia ni kwamba ana uhusiano na binti mmoja huko Marekani,na huyo dada anatangaza waziwazi kuhusu hilo.Sina uhakika na mji anaoishi japo habari hizo zinafahamika waziwazi hapo Houston,Texas.
Tetesi nyingine ni uhusiano wake na mwanamama mmoja aliyemteua kuwa balozi kwenye nchi flani "muhimu".Inadaiwa kuwa mume wa balozi huyo anafahamu uhusiano kati ya mkewe na JK lakini hachukui hatua yoyote kwa vile naye ni "kiwembe" (inadaiwa mume wa balozi huyo alikuwa na uhusiano na mbunge mmoja aliyekuwa nchini humo kimasomo.Mbunge huyo anatoka jimbo moja kanda ya kati).
Kadhalika,kuna habari kuhusu dada mmoja aliyekuwa kimada wa Kikwete kabla hajapata urais.Inaelezwa kuwa dada huyo alikuwa anakaa magomeni.Sikumbuki vema jina ila nadhani ni MARY or something like that.Dada huyo kwa sasa ni marehemu na inafahamika alifariki kutokana na maambukizi ya upungufu wa kinga mwilini (ukimwi).Kifo cha binti hiyo kinatajwa kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea JK kudhaniwa anaumwa ugonjwa huo (na mwenyewe akakanusha-BILA KUULIZWA-huko Dodoma)
Kuna mengine nayafanyia kazi,lakini kwa leo ni hayo tu.I repeat,NINA USHAHIDI WA HAYO MATATU YA KWANZA.