Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,593
- 29,711
Umesoma heading ya thread?kwa hiyo wa kujadiliwa hapa ni Kikwete tu?
Basi hii thread hainihusu ngoja niwaachie wadau mwendelee.
unataka tumjadili Slaa? anzisha sreadi yake tutakufuata
Umesoma heading ya thread?kwa hiyo wa kujadiliwa hapa ni Kikwete tu?
Basi hii thread hainihusu ngoja niwaachie wadau mwendelee.
In elective Party politics, Kikwete started shining in 1982 when he was overwhelmingly elected by the party (CCM) national congress to be a Member of the National Executive Committee. This is the highest policy and decision-making body of the party. He has won re-elections to the body every five years since then. Also, in 1997, he was elected a member of the party's powerful 31-member Central Committee (CC). He is still a member of the Central Committee since he was reelected in 2002 for another term of 5 years.
Alikuwa anataka kununua kiwanja kimoja cha muarabu kule msasani kwa milioni 600 Tshs, yule muarabu alikataa na alikuwa anataka Million 800 Tshs, JK akashindwa, lakini baada ya kuingia ikulu amechukua kile kiwanja ( sina hakika kama amenunua au alichukua kwa nguvu).
A:
Education
He received his primary education at Karatu Primary School between 1959 and 1963 and his middle school education at Tengeru School from 1962 to 1965. He then moved from Tengeru School to Kibaha Secondary School for O-level education between 1966 to 1969.
B: Source: Gazeti la Uhuru
Baada ya elimu ya msingi mwaka 1958-1961, Kikwete alijiunga na Shule ya Kati Lugoba mwaka 1962-1965.
Something is wrong about his middle school (shule ya kati)!!
Msanii Vicky Kamata akiwa anatumbiza wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM 2010 ambao ulipitisha jina la Kikwete kuwa mgombea urais kwa ticketi ya CCM. Kikwete ameingia katika siasa za CCM/TANU kuanzia mwaka 1982.
Huyo aliyeshika fweza mkononi kutuza si ni UKINIHOFIA CHIMBA? Sorry nilimaanisha Sofia nichimbe Hapana yaani Sofia Lion. Hapo kafika kwa habari za mipasho.
Babu seya maskini ,kweli mkwere kweli ni wewe?
Akiwa waziri wa Nishati na madini ndie aliye saini mkataba wa kuwapa wawekezaji eneo la Bulyahngulu, japo kwenye mkataba alisaini eneo jingine baada ya mzee Mwinyi kustukia., lakini alipooondoka tu Mzee ruksa, yaliyofuata kule Bulyangulu sisi sote ni mashahidi.
Alikuwa anataka kununua kiwanja kimoja cha muarabu kule msasani kwa milioni 600 Tshs, yule muarabu alikataa na alikuwa anataka Million 800 Tshs, JK akashindwa, lakini baada ya kuingia ikulu amechukua kile kiwanja (sina hakika kama amenunua au alichukua kwa nguvu).
Mbona umeeleza machache tu. Hujatueleza ya IPTL, mikataba ya madini aliyosaini, kuanguka anguka, safari zake za nje, Maisha duni kwa kila Mtanzania, maswahiba wenye remote ya kumcontrol (RA, Low --, Kina .. etc) na washikaji wake kwenye ofisi na taasisi za serikali ambao wemeshindwa kudeliver kufanikisha kauli mbiu ya kikwete.
In Black and White Kikwete kwa kiasi ulichoeleza ameshindwa kudeliver miserably kwenye nafasi ya uraisi. Rudia homework yako. Lakini hadi leo anatoa ahadi kando ya mipango ya serikali atawadanganya wadanyika. Tunaomfahamu kwa undani tulijua ni disaster.
nikimuangalia Kikwete sura yake huwa nacheka, sijui ni yale mambo yake ya kudanganywa kila mara na kina makamba, sijui.
hasa hili bango jirani na Uwanja wa Nyamagana, sijui namuonaje.
Ray C, JUZI KASEMA Atampa kura JK , kwakua ni handsome kuliko wenzake woooote.
Hapa sijakuelewa Mutu, unaweza ukawa muwazi zaidi?
Msanii Vicky Kamata akiwa anatumbiza wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM 2010 ambao ulipitisha jina la Kikwete kuwa mgombea urais kwa ticketi ya CCM. Kikwete ameingia katika siasa za CCM/TANU kuanzia mwaka 1982.