Kikwete: In Black And White


Oooh my Gosh! Maumivu ya Kichwa huanza taratibu
 
Kiranga , Kikwete Mtu wa Mwinyi aache kumuuliza Mwinyi aende Butiama kwa Nyerere? labda useme kwa Warioba kama kipindi hicho bado alikuwa Waziri Mkuu?
Pili kwa protokali ya Bongo Naibu waziri hana majukumu mengi au uamuzi labda kama walitaka kumsakizia Bomu, akashtuka, kama ilivyo kwa Makamu wa Raisi, ma naibu waziri ni more on ceremonial cases, au kujifunza kazi.
Waliokuwa wana report au kutafuta reference kwa mwalimu walikiona cha Moto nao ni Apiyo na Warioba.
Sasa Kiranga hii yako, labda unipe data zaidi. ya weza kuwa
 
Baada ya uchaguzi wa 2005 na kuapishwa
sisi walalahoi tuliambiwa kuna MABILION ya kukupeshwa ambapo kila mkoa ulipewa bilion moja (ingawa vogogo na mabenki ndo walifaidika)
ninakosa majibu ya maswali haya:-

  1. Mabilion haya yalitoka wapi?
  2. Mpaka sasa zimerejeshwa kiasi gani?
  3. Bunge lipi la BAJETI lilipitisha hela hizi ukichukulia zilitolewa kabla ya bunge la bajeti.
  4. Yana uhusiano na EPA?
  5. Hayana chembe za takrima?
naomba mwenye data atumwagie hapa tuelimike.
Wasi wasi wangu ni mkubwa sana kuhusu hizi senti
 

Swali moja muhimu ni kujua wananchi walionufaika nazo.
 
Kikwete is worse hakuna alichowahi kufanya kama raisi! Ni kucheka cheka na mizaha
 
juzi hukumsikia jk akiwaambia NMB arejeshewe pesa zake mana hawakufata maagizo yake sasa cjui ni maagizo yepi ila mimi nilifatilia mikopo hiyo nikaambiwahizo fedha wala hazipo ni maneno tu na hawaruhusiwi kusema kwamba hazipo sana sana unazungushwa na kupewa masharti magumu ukimbie mwenyewe lakini ukweli ni kwamba ilikuwa changa la macho tumepigwa na ndo maana akatoa kauli kwamba benki zimrudishie hela zake wakati hata kuzitoa hakutoa hivyo wadanganyika waliamini kuna mabilioni ya kikwete. Mtaani mtu akiiba au kauza jiwe mfano arusha kila mtu atajua na atasema hela za mawe au wizi zimemtoa lakini niambieni ktk nchi nzima nani unayemfahamu aliyetoka na mabilioni ya kikwete. Tarehe 31 tumrudishe atujengee viwanja vya ndege japo nchi haina ndege, meli na vivuko japo nauli hatuna sana vyombo hivyo vitawaleta wageni kuja kuitafuna nchi km kawa.
 

Jamani ni kwel haya yote! Mbona makubwa, tena mnanitisha, HAIWEZEKANI BWANA, itakwaje? Basi huyu ni mwanamume wa Shoka(ooops, msinifananishe na Sofia please!), kali kweli!
 
KICHUGUU umetuongopea kwani ni mwaka huo huo wa 1994 alipoti saini mktaba wa IPTL na juzi tumeambiwa kuwa ni mwaka huo huoaliposaini mkataba wa Bulyanhulu, masalahi gani kwa taifa hayo. Mbona sasa anashindwa kutuonuesha kuwa anajali maslahi ya taifa akiwa ni mkuu wa nchi?
 
kikwete is worse hakuna alichowahi kufanya kama raisi! Ni kucheka cheka na mizaha

subiri siku ya uchaguzi na ya kutangaza matokeo kwamba kikwete ameshinda kwa zaidi ya asilimia 80, ndipo utakapojua kweli kikwete kafanya mambo mengi mazuri katika awamu yake ya kwanza ya uongozi
 
Mbona Mke wake Mzuri kiasi hiki, anatafute nini zaidi! Mhhhhhhhhhhhhhhhhh nimechoka,

kUFUATILIA MAMBO BINAFSI YA MTU NI KUFIRISIKA KIMAWAZO NA KISERA.KWAMBA UMESHINDWA KUFUATILIA MAMBO YA MSINGI AMBAYO YANAFAIDA KWA TAIFA NA NCHI.
 
duh, kweli wewe ni superman wa copy and paste! Thanks anyway!:confused2:

your source
 
Kwani kinachotafutwa ndicho kionekacho machoni?

Mkuu, Kamanda, Kiongozi, Comred, Mpiganaji . . . . karibu sana.

Naona bado unasitasita kumwaga facts hapa . . . . tenda haki kamanda . . . haaa haaa
 
unasikia miahadi anayo mwaga huko kwa wenye nchi, wewe kazana na black and white tu, watu wana peta

Ni haki yake. Yuko kwenye Kampeni. Same kwa wagombea wengine. Na hii ndo maana ya thread hii watue wajue yote ili waamue. Kama una kitu chochote unique Black on White, negative au positive, unaweza kutuhabaarisha.
 
acheni kashfa jamani hao ma DC na Mabalozi ni zaidi ya 70 je ana wa duu kwa staili gani wote?angalieni wanatimiza majukumu yao vizuri?km wanachemka semeni.....hivi kila mwanamke akipewa uongozi kavua chupi?wacheni hizo!

Faithfully. soma post za nyuma za Mlalahoi katika thread hii
 

Mlalahoi, bado hujaweza kujibu maswali hayo.
 

Akiwa waziri wa fedha aliunda tume ya kuchunguza matumizi mabaya aliyokuwa amefanya Kigoma Malima, enzi hizo za Mzee Rksa KM alikuwa haambiliki lakini JK alitoa findings za tume yake na kumfukuzisha kazi Malima. Inasemekana hata fedha za Malima zilizokuwa nje alizifreez na ikawa chanzo cha kifo chake. Hicho peke yake ndio kilichompa umaarufu kwa Watanzania.

Sijui kwa nini alishindwa kukamata za kina Chenge na za Epa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…