JK mtoto wa mjini EL anajua kuchunga ng'ombe tu ndiyo kisa cha kuamini kila kitu hata hivyo hana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania kwa kuwa ni mbinafsi kama Monduli kuna shida kibao na ni kweli nimekuwapo mara kwa mara hakuna maji ya uhakika barabara shule na huduma za afya ni mbovu ni vpi aliweza kutumia bilioni moja kwa masaa manne kutangaza ni ya kugombea urais? na kwa kukosa nidhamu akaanza kufanya kampeni kabla ya wakati kwa kulipia media zote zitangaze mikutano yake pote alikokwenda kutafuta wadhamini bado CCM wamwache tu kwa lipi hasa? Hana mapenzi na watanzania angekuwa ni mpambanaji wa kuupiga umaskini angeanza kuboresha maisha ya watu jimboni mwake hasa huduma za jamii lakini mnafiki anatudanganya ni mwema kwetu wakati ndugu zake wanalala na kufa na njaa na huduma mbovu za afya. Na kuthibitisha kuwa alikuwa kibiashara zaidi katika misaada yake yote alikuwa akitoa kwenye makundi yenye nguvu za ushawishi kama makanisa na misikiti kwakuwa alijua viongozi wa taasisi hizo wangezitumia zile fedha binafsi na kuishawishi makundi wanayoyaongoza kuwa ni yeye tu ndiyo anafaa kuingia IKULU, ILIFIKIA KIONGOZI wa dini mmoja baada ya kuhongwa pesa kibao akasahau mpaka msingi wa imani yake na kumuita EL kwa ni kama mtume na waislamu wakakaa kimya kwa kuwa walilamba fedha za kutosha hakuna aliyeliona hilo, angesema mtu mwingine asiye na fedha saa hizi tungeshuhudia maandamano nchi nzima kama yale ya kauli ya marehemu Mama Sophia Kawawa.
Kwa hiyo namshauri EL popote alipo aanze kuondoa umaskini jimboni mwake kwanza ndipo tutamuamini kumpa urais mwaka 2025 baada ya Magufuli kustaafu, tofauti na hivyo alie tu. Urais haupatikani kwa nguvu bali kwa neema ya Mungu ajifunze kwa Magufuli. Biblia kitabuanachokiamini EL inatufundisha kuwa AJIKWEZAYE ATASHUSHWA NA AJISHUSHAYE ATAKWEZWA ajiulize yeye na Magufuli nani alijikweza na nani alijishusha ili andiko litimie, na alisema hatarajii kushindwa !!!!!!! OVERCONFIDENCE KIKO WAPI SASA?????????? Hivi ni lazima awe yeye tu ndiyo ionekane haki imetendeka? Wengine hawana haki ya kuongoza tanzaniampaka awe EL tu. MAISHA BILA URAIS YAWEZEKANA ATULIE NA AWE MPOLE