Kikwete: I may be having a smiling face but am firm on issues

Wakati akihutubia ufunguzi wa bunge la awamu ya nne, Mheshimiwa Rais alitumia fursa hiyo kuwaonya watendaji serikalini na akawahakikishia kuwa, ''I MIGHT BE WEARING A SMILE BUT IT COULD BE VERY DECEPTIVE........ I'M FIRM ON ISSUES''

Kwa maoni yako, miaka saba leo hii imetimia; je? Mh Rais amemudu kui-ishi kauli yake hiyo?
Hapa sijui alikuwa anasema sijui ISSUES gani....????
 
Acha hizo ulitaka amfukuze bila kupitia vikao halali au kupewa nafasi ya kusikilizwa?
Rais kama binadamu hawezi kuwa imara kwa kila jambo, mathalan, Mbowe kaonyesha udhaifu kwa kumshughulikia John Shibuda je tukimpa nchi ataweza kuwamudu wanasiasa aina ya shibuda.
 
Huyu mama anachezea sharubu za Simba aliyejeruhiwa sio?
Late Mwalimu mzalendo wa kweli aliyekufa na jozi moja ya kiatu alisema mipaka ya Tanzania ni non-negotiable.
Muda umefika watanzania tuonyeshe patriotisim kwa hawa wazungu wanaomtumia huyu mama kama chambo. Wanafiki wakubwa ndio maana hata mafua hawawezi kuyahimili.
 

Attachments

  • jeshi1.jpg
    jeshi1.jpg
    10.2 KB · Views: 116
  • jeshi3.jpg
    jeshi3.jpg
    9.6 KB · Views: 119
  • jeshi2.jpg
    jeshi2.jpg
    13 KB · Views: 112
  • jeshi4.jpg
    jeshi4.jpg
    9 KB · Views: 104
Our Neighbor Malawi aggression is not Good. But when is inevitable Tanzania will respond with necessary Force. Simple as ABC
 
Ndio Mkwere original,

Mwenyewe alisema Pale Bungeni Dodoma mwaka 2010 kuwa;

"I might be wearing a smile, but it could be deceptive".

Lowasa akachekewa akasema:
"Mimi na Kikwete hatukukutana njiani,"

Pole Baba Lowassa, Hukujua kuna binadamu anaweza kuua binadamu mwenzake huku muuaji huyo akijawa na tabasamu.

Songa mbele na plan B. Kabla jua halijakuchwa!
 
Kulikuwa na Plan B, bahati mbaya naye alichujwa! Unajua plani ya mabingwa wa uchakachuaji ilikuwa kumuweka Membe na watu fulani dhaifu vile ili apite bila jasho. Kina Nchinbi walipostukia hilo ndo kwa lazima Membe akaondolewa, na bila jasho Pombe Magufuli akaokota kitumbua kwa ulaiiiini. Plani B ya EL hata hakupita mchujo wa awali. So sad! So discouraging!
 
EL aliwajeruhi wenzake ktk harakati za kumpigania JK aingie Ikulu wacha naye ajeruhiwe. Malipo hapahapa bongo.
 
Usimwamini mtu awaye yeyote @ Lst Mama'ko Mzazi
 

Attachments

  • 1437169414190.jpg
    1437169414190.jpg
    11.6 KB · Views: 942
wagaagaa na pwani si mchezo ,hata wauza watumwa waliona hawafai kupeleka sokoni.
 
Back
Top Bottom