Anaenda kutibiwa mafua.jamani tuwaunge mkono wanaharakati tunakufa jamani.
Josephine unajua maana ya hiki ulichoandika?
Kuna taarifa kuwa Rais yuko njiani kuelekea FINLAND
Hii imekuwa siri kubwa maana mgomo wa madaktari umefikia pabaya
Leo TBC wanaweza kutoa habari ya kuwa Rais yupo lakini picha zitatoka maktaba
Usiniulize sosi
JOsephine hajui maana ya allergy.Allergy ni madhara mtu mwenye allergy na kitu ina maana kuwa akitumia hicho kitu kinamdhuru.
Mtu mwenye allergy na samaki ni kuwa akila samaki wanampa homa au anatoka vipele au mwili humuwasha.
Mtu mwenye allergy na safari ni mtu ambaye hapendi au anaogopa kusafiri kwa kuwa akisafiri huwa anadhurika kama kuvimba miguu,kuumwa n.k
Kwa hiyo Josephine hakujua alichokiandika..pole sana.