Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 684
- Thread starter
- #21
hizo tetesi tu jamaa nasikia ndio anatua dodoma hv sasa:hat:
Ndo atakuwa amerudi nini?
leta habari kamili kama kweli amatua dodoma, anatoka finland au Dar????
hizo tetesi tu jamaa nasikia ndio anatua dodoma hv sasa:hat:
Kuna taarifa kuwa Rais yuko njiani kuelekea FINLAND
Hii imekuwa siri kubwa maana mgomo wa madaktari umefikia pabaya
Leo TBC wanaweza kutoa habari ya kuwa Rais yupo lakini picha zitatoka maktaba
![]()
Usiniulize sosi
basi kama vipi asirudi ...aende moja kwa moja ..
Ndo atakuwa amerudi nini?
leta habari kamili kama kweli amatua dodoma, anatoka finland au Dar????
mgomo haukimbiwi hata siku moja bali unapatiwa ufumbuzi.
kama ningeambiwa nitowe maamuzi!!
Yani huyu asingetakiwa kurudi hapa nchini na abaki huko huko alikozoea kuwatembelea,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,tuna hasara sana na huyu binadamu.