KIKWETE huyooooooo FINLAND

Nilisema mimi . JF sasa umekuwa ukumbi wa wapiga ramli!!!

sasa hapa ramli imeshindwa. JK yupo huko huko magogoni anaendelea na kazi kama kawaida.

Nashauri. WanaJF lazima mtoe mambo mkiwa na uhakika sio kuendekeza ramli.

JF imepoteza mwelekeo kimekuwa ni kijiwe cha wabangaizaji wa habari !

sijajua alienda lini ila natazama tbc 1 ikionyesha rais akiwa nchi za scandinavia kuaga. nauliza, kulikuwa na ulazima gani? japo wenyewe wanajitetea sana kuwa ziara ni kwa manufaa ya nchi
 
sijajua alienda lini ila natazama tbc 1 ikionyesha rais akiwa nchi za scandinavia kuaga. nauliza, kulikuwa na ulazima gani? japo wenyewe wanajitetea sana kuwa ziara ni kwa manufaa ya nchi

Very good question! Alipoingia Ikulu na kuanza safari za nje kwa kasi tuliambiwa anapita kujitambulisha. Miaka takribani kumi na safari nje karibia 400 na bado anaongeza idadi kisingizio kuaga. Je, marais gani wa nje walikuja kujitambulisha kwetu? Wangapi walikuja kutuaga zaidi ya Mwai Kibaki? Hiyo fedha inayotumika kuagia siyo ya wananchi? 25 Oktoba tutaonana.
 
Back
Top Bottom