KIKWETE huyooooooo FINLAND

Hatuna rais,.anasafiri wakati nyumbani kaacha matatizo makubwa hivi jamani?
kama vipi asirudi na abaki huko huko..
 
Josephine unajua maana ya hiki ulichoandika?

JOsephine hajui maana ya allergy.Allergy ni madhara mtu mwenye allergy na kitu ina maana kuwa akitumia hicho kitu kinamdhuru.

Mtu mwenye allergy na samaki ni kuwa akila samaki wanampa homa au anatoka vipele au mwili humuwasha.

Mtu mwenye allergy na safari ni mtu ambaye hapendi au anaogopa kusafiri kwa kuwa akisafiri huwa anadhurika kama kuvimba miguu,kuumwa n.k

Kwa hiyo Josephine hakujua alichokiandika..pole sana.
 
Khaa! Yaani kaondoka kweli? Kudadeki kama kawaida yake anasikilizia kwanza mabwege wake wajikanganye katika matamko yao mbalimbali yanayo sigana, halafu baaadaaaeeee.... ye anakuja kuibuka LIKE A HERO na kijitamko kisicho na mashiko hata kidogo kwa wenye mitazamo mipana na mipevu.
 
Kuna taarifa kuwa Rais yuko njiani kuelekea FINLAND

Hii imekuwa siri kubwa maana mgomo wa madaktari umefikia pabaya

Leo TBC wanaweza kutoa habari ya kuwa Rais yupo lakini picha zitatoka maktaba

images

Usiniulize sosi

Atapiga picha huyo mpaka wamkome!
 
Hali iliyopo nchini si ya kusema utani kama huu eti kaondoka kwenda Finland, utani huu si mzuri hata kidogo
 
Ifike mahali wana JF tutofautishe majukwaa,si kuna jukwaa la utani?maana kama taarifa hii siyo kweli basi wewe Kipeng'e ni gamba au utakuwa unapenda umbeya na itakuwa unali-misunderstand jukwaa,maana mbona nasikia yuko Dodoma anavuta kasi ya kikao cha NEC?anyway naomba kama kuna mtu mwenye taarifa sahihi atujuze,maana wengine tuko kwenye maandalizi ya kesho juu ya maandamano.
Toeni taarifa zilizo serious,maana huu sio wakati wa kucheka na nyani tena,nadhani hii inaweza ikawa safari.sasa ikiwa una utani upeleke sehemu sahihi.
 
Nchi imemshinda lakini hatuna utaratbu wa kuondoana madarakani kabla ya muhula kwisha, thats my only guess, so badala ya kujiuzulu anasafiri, ndo banana republic.
 
JOsephine hajui maana ya allergy.Allergy ni madhara mtu mwenye allergy na kitu ina maana kuwa akitumia hicho kitu kinamdhuru.

Mtu mwenye allergy na samaki ni kuwa akila samaki wanampa homa au anatoka vipele au mwili humuwasha.

Mtu mwenye allergy na safari ni mtu ambaye hapendi au anaogopa kusafiri kwa kuwa akisafiri huwa anadhurika kama kuvimba miguu,kuumwa n.k

Kwa hiyo Josephine hakujua alichokiandika..pole sana.

Basi angesema ana allergy na Tanzania?

419460_338993156135140_100000733741456_1114670_1976087171_n.jpg
 
Back
Top Bottom