Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Bora aondoke, ameifilisi sana hii nchi kwa matumizi mabaya ya fedha za walipakodi
Ni kweli lakini mungu pishia mbali.
Nitajipima kabla ya kutangaza nia na si kukurupuka kisa nataka kuuza sura na kuandika historia niliwahi kuwa raisi au niliwahi kugombea wakati uwezo sina na hata vision sina.Safari hii tukuchague wewe,utafaa sana.
dada yako toka lini? Hunijuwi sikujuwi. Nikome.
Taifa hili linakazi hata majuha nao wanahoji utendaji wa jk,kwa tarifa tu ni kwamba jk kila siku anasema mda wake ukiisha ataondoka kwa mujibu wa katiba ila kumbuka kuwa hatakuja kupatikana kirahisi mtu mpenda maendeleo kama jk japo wajinga wachache kama wewe akina mengi na mafisadi wengine ndiyo wanamkwamisha lakini hachoki kuleta maendeleo kwa watanzania.
Ukali wa nyuki dada, asali italiwa tu!Dada yako toka lini? Hunijuwi sikujuwi. Nikome.
yaani wewe unaweza kuta hata kodi ya nyumba hujalipa huna hata ujanja wa kujenga kibanda then unashangilia ujingaWatanzania wazalendo wanaopenda maendeleo, wanatamani JK aongezewe miaka mingine mitano ili aendelee kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Sijui wewe mleta mada uko nchi gani!
Ukali wa nyuki dada, asali italiwa tu!
Wapo watakao tofautiana na mimi kimtizamo lkn wenye positive mind watakubaliana kuwa JK hakupaswa hata kuwa katibu taarifa,hana kipaji cha uongozi,mtaakubaliana na mimi kuwa serikali ya kikwete imekua ikikumbwa na dhoruba nyingi kuliko awamu nyungine zozote,mfano richmond,operation tokomeza,iptl na Escrow,mpaka sasa hakuna action zaid ya wahusika kujiuzulu,Jk rais wangu utakumbukwa kwa lipi kwenye uongozi wako? Awamu yako imeuza kila kitu gas,madini,uranium,bandari nk ni nini hatma ya kizazi kijacho? Vijana wengi waliohitimu vyuo watakwenda wapi kama uwekezaji unaofanyika hautoi fursa za ajira? Ni awamu hii tumeshuhudia utekaji,utesaji na hata kuuwawa kwa watz wenzetu walioamua kupaza sauti zao kwa kuonyesha udhaifu,ubadhirifu wa serikali yako,tumeshuhudia jinsi familia yako kupitia mkwe wako ndg albert marwa,ridhwani kikwete na wengine wanavyotumia taasisi ya rais kufanya ubadhirifu ilihali ofisi yako ikiwa kimya,uliwahi kusema nanukuu"urais wangu hauna ubia ba mtu" lkn mh rais ni nini tafsiri ya kauli hii kwa kipindi hiki nchi ikiwa njia panda? Bado huna mbia kwenye urais wako? Ni ukweli ulio wazi sasa kuwa urais una ubia na watu mfano familia yako,albert marwa,rostam aziz and coy,home shopping center,patel na wengine wengi,sina hakika kama ulikuwa na tafsir kamili ya neno ubia lkn bado naamini umeganda kwenye tope
ambalo kamwe huwezi kutoka kwa sababu urais wako una ubia na wabadhirifu na wezi wa mali za umma,sitaki kuamini kuwa singasinga ambaye kenya yuko black listed mmeleta kuja kufanya ubadhirifu kachukua pesa kaondoka,nchi yetu watu wake ni masikini sana pamoja na utajir mungu aliotujalia,mh rais nimalizie kwa kusema nimechangia ujenzi wa maabara ilihali tusikia huko dsm wanabeba pesa kwa viroba,je ipo wapi haki hapa?
Mungu ibariki Tanzania
Hivi kumzushia uwongo kiasi hiki mheshimiwa Raisi wetu mpendwa, hujui kuwa ni dhambi kubwa?, au unafikiri Mungu hakuoni kwakuwa sisi wanadam wenzako hatukuoni hapo kwenye keyboaed yako? nakuhurumia unavyoteseka kwa chuki moyoni mwako, Pole sana!JK alishawahi kusema kwenye moja ya Kampeni zake Mbeya kuwa URAIS wake ni wake na familia yake.Hivyo haya tuyaonayo wengine hatushangai sana,maana alitamka mwenyewe.Waache,watoto,wakwe mke nk wajichukulie maamuzi kama rais .
Ili upewe wewe punguani auNtafurahi sana mungu atuondolee huyu mtu...loh...tumejuuuuuuta kumfahamu
Kwachuki zako za kidini usije ukatusababishia yanayowapata wakenya nowNi jambo la kushukuru Jk amebakiza miezi kama 10 tu aondoke madarakani.Tumeona na kujifunza mengi kuhusu faida na hasara katika kuchagua kiongozi mkuu wa nchi.
I even wish CCM to go along with him.
Ahsante mungu kwa fadhila zako.
jk ni laaana.....kadiri anavyoendelea kuwa madarakani ndivyo nchi inavyozidi kupata laana.....
Amalize muda wake laana huyu...
WE WISH ANGEPATA MIAKA MINGINE KUMINtafurahi sana mungu atuondolee huyu mtu...loh...tumejuuuuuuta kumfahamu