Kikwete has only 10 months to go

Kikwete has only 10 months to go

Mjepo sidhani kama una akili timamu, huenda ukawa nazo lakini kuzitumia huwezi, unaonekana ni mojawapo ya mamluki wakati mwingine tuwe wawazi na wakweli hivi huyo jk watanzania katuachia legacy IPI akiwa kama Raised Wa awamu ya nne? Hebu nitajie mambo saba tu ambayo watanzania tutamkumbuka
Taifa hili linakazi hata majuha nao wanahoji utendaji wa jk,kwa tarifa tu ni kwamba jk kila siku anasema mda wake ukiisha ataondoka kwa mujibu wa katiba ila kumbuka kuwa hatakuja kupatikana kirahisi mtu mpenda maendeleo kama jk japo wajinga wachache kama wewe akina mengi na mafisadi wengine ndiyo wanamkwamisha lakini hachoki kuleta maendeleo kwa watanzania.
 
Yaani napata shida sana juu ya uelewa wa vijana wa bavicha. Kwa vile mwenyekiti wenu ni DJ Zero mpaka nanyi mmekuwa zero? Ina maana hamuoni mazuri ua Rais Kikwete? Ngoja nikuwekee

LABDA NIKWAMBIE, HATA KAMA NCHI HII ITAONGOZWA NA MAMA NTILIE ACHA dj, MWENYE UCHUNGU WA KWELI NA ADILIFU KWA NCHI HII, TUKO TAYARI, KULIKO KUONGOZWA NA MAPROFESA WAHONGO WAMESOMA ILI KUTUTIA UMASKINI... NA TUKIHOJI TUNAAMBIWA HATUNA HAI HIYO MAANA SISI NI NGUMBARU...!
 
Yaani napata shida sana juu ya uelewa wa vijana wa bavicha. Kwa vile mwenyekiti wenu ni DJ Zero mpaka nanyi mmekuwa zero? Ina maana hamuoni mazuri ua Rais Kikwete? Ngoja nikuwekee

Ni sawa na sisi tunapopata shida na uelewa wako wa mambo ya KITAIFA ya kuyadharau na kudhani sababu kimefanywa na kiongozi wa chama chako ni sawa.Pole kila mtu anauwezo wake wakufikiri nje ya boksi.

Hata mie ninadhani sina cha kumkumbuka huyu Prof wa Kichina zaidi ya Ujambazi na ujangili uliofanywa wakati wa utawala wake na hakuna hatua za maana zilizochukuliwa zaidi ya kutupa porojo za ninawajua wahusika wa ujangili,weziwa mali ya umma,wafanyabiashara wa madawaya kulevya lakini hakuna cha maana zaidi ya kutueleza alivyofanyiwa operation yake ya Tezi Dume..
 
Mjepo sidhani kama una akili timamu, huenda ukawa nazo lakini kuzitumia huwezi, unaonekana ni mojawapo ya mamluki wakati mwingine tuwe wawazi na wakweli hivi huyo jk watanzania katuachia legacy IPI akiwa kama Raised Wa awamu ya nne? Hebu nitajie mambo saba tu ambayo watanzania tutamkumbuka
Taifa hili linakazi hata majuha nao wanahoji utendaji wa jk,kwa tarifa tu ni kwamba jk kila siku anasema mda wake ukiisha ataondoka kwa mujibu wa katiba ila kumbuka kuwa hatakuja kupatikana kirahisi mtu mpenda maendeleo kama jk japo wajinga wachache kama wewe akina mengi na mafisadi wengine ndiyo wanamkwamisha lakini hachoki kulndeleo kwa watanzania.
 
Taifa hili linakazi hata majuha nao wanahoji utendaji wa jk,kwa tarifa tu ni kwamba jk kila siku anasema mda wake ukiisha ataondoka kwa mujibu wa katiba ila kumbuka kuwa hatakuja kupatikana kirahisi mtu mpenda maendeleo kama jk japo wajinga wachache kama wewe akina mengi na mafisadi wengine ndiyo wanamkwamisha lakini hachoki kuleta maendeleo kwa watanzania.
Watu wanatumia kipindi hiki cha kuelekea UCHAGUZI kumpaka matope Rais. Upuuzi mtupu, hivi kama huyu anayesema JK hakupaswa kuwa hata Katibu Kata kama siyo mwendawazimu ni nini?
 
tUONGEE UKWELI, KAMA JINSI jk ALIVYO INGIA KWA MBWEMBWE NA UCHAPAJI KAZI ANGEKUWA HIVYO MPAKA LEO, BASI WQALA USINGESIKIA CHADEMA WALA UKAWA, TULIMKUBALI SANA, LAKINI KWA KUWA ILI KUWA NI CHANGA LA MACHO NA SASA TUMEGUNDUA UWEZO MDOGO NDIYO TUNA MWAMBIA KWELI TUNAJUTA KWA WALIO MCHAGUA!
 
Ni sawa na sisi tunapopata shida na uelewa wako wa mambo ya KITAIFA ya kuyadharau na kudhani sababu kimefanywa na kiongozi wa chama chako ni sawa.Pole kila mtu anauwezo wake wakufikiri nje ya boksi.

Hata mie ninadhani sina cha kumkumbuka huyu Prof wa Kichina zaidi ya Ujambazi na ujangili uliofanywa wakati wa utawala wake na hakuna hatua za maana zilizochukuliwa zaidi ya kutupa porojo za ninawajua wahusika wa ujangili,weziwa mali ya umma,wafanyabiashara wa madawaya kulevya lakini hakuna cha maana zaidi ya kutueleza alivyofanyiwa operation yake ya Tezi Dume..
Mnahitaji Rais wa kuwapeleka kwenye mazingira ya MISRI, SOMALIA n, k naona kama mmelewa amani
 
Watu wanatumia kipindi hiki cha kuelekea UCHAGUZI kumpaka matope Rais. Upuuzi mtupu, hivi kama huyu anayesema JK hakupaswa kuwa hata Katibu Kata kama siyo mwendawazimu ni nini?

kAJIPAKA MATOPE MWENYEWE KWA KUENDEKEZA DILI ZA KIFISADI...! KAMA ANGEKUWA MSAFI KAMA SOKOINE WANGEMCHAFUA KWA LIPI, KWANI HAYO MAMBO WANAYO SEME YAME TUNGWA?
 
Kwa wengine haya yatakua maneno mazuri kwenye macho au masikio yao,nimetoa hoja ili nikosolewe au ukubaliane na hoja,tusiweke interest ya vyama hapa,tujadili kwa maslahi mapana ya nchi,bado nasisitiza kuwa rais kikwete ni kiongozi asiyeweza kuchukua maamuzi stahiki kwa wakati,serikali yake inalinda wabadhirifu,hizo barabara unazosifia ni chache zimejengwa kwa hela zetu nyingi ni mikopo,ni katika kipindi hiki pia hela zimechotwa kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kama pspf,nssf nk,awamu hii serikali imekosa nidhamu ya matumizi ya pesa ndio maana hosp zetu zilikosa dawa kwa kwa sababu rais ama aliowateua walishindwa kuwajibika ipasavyo,namalizia kwa kuuliza mliosoma mtuelimishe juu ya ukuaji wa deni la taifa,uchumi,FDI,inflation,na pia mtuambie impact ya tzs 321bn za escrow kwenye uchumi wa tz
 
JK ni laaana.....Kadiri anavyoendelea kuwa madarakani ndivyo nchi inavyozidi kupata laana.....

Amalize muda wake laana huyu...
Rais akilaaniwa , watu wake wako salama kweli? JK anaongoza watu waliolaaniwa
 
Ni jambo la kushukuru Jk amebakiza miezi kama 10 tu aondoke madarakani.Tumeona na kujifunza mengi kuhusu faida na hasara katika kuchagua kiongozi mkuu wa nchi.

I even wish CCM to go along with him.

Ahsante mungu kwa fadhila zako.

Safari hii tukuchague wewe,utafaa sana.
 
JK ni laaana.....Kadiri anavyoendelea kuwa madarakani ndivyo nchi inavyozidi kupata laana.....

Amalize muda wake laana huyu...
Rais akilaaniwa , watu wake wako salama kweli? JK anaongoza watu waliolaaniwa
 
Kwa wengine haya yatakua maneno mazuri kwenye macho au masikio yao,nimetoa hoja ili nikosolewe au ukubaliane na hoja,tusiweke interest ya vyama hapa,tujadili kwa maslahi mapana ya nchi,bado nasisitiza kuwa rais kikwete ni kiongozi asiyeweza kuchukua maamuzi stahiki kwa wakati,serikali yake inalinda wabadhirifu,hizo barabara unazosifia ni chache zimejengwa kwa hela zetu nyingi ni mikopo,ni katika kipindi hiki pia hela zimechotwa kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kama pspf,nssf nk,awamu hii serikali imekosa nidhamu ya matumizi ya pesa ndio maana hosp zetu zilikosa dawa kwa kwa sababu rais ama aliowateua walishindwa kuwajibika ipasavyo,namalizia kwa kuuliza mliosoma mtuelimishe juu ya ukuaji wa deni la taifa,uchumi,FDI,inflation,na pia mtuambie impact ya tzs 321bn za escrow kwenye uchumi wa tz
Akili inayomuita Rais wa nchi hafai kuwa hata Karibu Kata itakosolewa kwa maneno yapi zaidi ya haya?
 
Mnahitaji Rais wa kuwapeleka kwenye mazingira ya MISRI, SOMALIA n, k naona kama mmelewa amani

Nadhani ndiye tuliyenaye leo,ila uvumilivu wa WATANZANIA na SALA za watu wa dini wanyekevu hatukufika kule alikotaka twende.

Ila tumia akili badala ya makalio wakati unafikiri,hasa wakati unajibu haoja za wenzako.
 
Akili inayomuita Rais wa nchi hafai kuwa hata Karibu Kata itakosolewa kwa maneno yapi zaidi ya haya?

Ukweli humweka mtu huru,huo ndio mtizamo wangu si lazima uukubali tengeneza hoja uniambie ni kweli kwa vigezo vyako JK alistahili kuwa rais,kimsingi tu nchi imekua kwenye auto pilot mda mrefu,ninamwomba Mungu huyu rais amalize akapumzike kwao msata,rais anyekumbushwa majukumu yake na wananchi na bunge huyo uwezo wake dhaifu
 
Back
Top Bottom